Mwanaume kuwa na wake wengi: Sababu, faida na changamoto/hasara

Kwa hiyo hatoshi maana anaingia siku zake na na anakuwa mjamzito? Yaan mpaka muache ubinafsi Yesu atakuwa amesharudi
Mwanamke unamuoa anakuambia amechoka mara hajisikii,sio kwamba sisi Ni wabinafsi,no,sisi tuna sexual drive kubwa hatutosheki na mwanamke mmoja,hata manabii walikuwa na wake wengi
 
Nafikiri hamaanishi mke wa ndoa, anamaanisha uhusiano wa kimapenzi na mwanamke nje ya ndoa.
Kwa hiyo ni kweli, mwanaume ambaye hana uhusiano na mwanamke mwingine nje ya yule rasmi, inawezekana kwa kipindi fulani tu, sio maisha yake. Au akiwa hayuko vizuri kiuchumi, au akiwa kwenye matatizo mazito, au kwa kuogopa kitu fulani, mfano anatarajia kuomba/kugombea cheo cha kisiasa!
Ila kama kila kitu kiko sawa, lazima atakuwa na mchepuko tu!
Wanawake mtuvumilie tu!
Huu ukweli huwa hawataki kuukubali
 
Hapo ubinafsi kivipi,unajua huwa siwaelewi mnaposema sisi wabinafsi
Mambo mnayowafanyia wanawake mngefanyiwa ninyi ingekuwa vita...ila mkiwafanyia wanawake huwa mnaona n sawa tu mna haki ya kufanya hivo...huo n ubinafsi wa hali ya juu....mnaangalia sana tamaa zenu za mwili bila kujali upande wa pili
 
Ongezea na wa kiarabu,hata hao wazungu wana michepuko Sana tu, mwanaume atabaki kuwa mwanaume tu awe mzungu, mweusi au wa bluu

Wazungu wana uaminifu flani kwa kiasi kikubwa sana!
Wao wanaishi kwa kanuni Kwenye mambo mengi!
Wanajua kupenda kwa moyo wao wote!
Mzungu akimpenda Mtu amemaanisha kabisa toka Moyoni !
Kumpenda Mtu ni zaidi ya kumhitaji kingono!
Nyie weusi mko after ngono tu!
Nje ya ngono mnawaza kutafuta mwanamke mwingine kufanya ngono!
 
Ana mkewe K lyn, hao wengine kila mtu alikuwepo kwa wakati wake akapita. Sipati picha mwenzangu pangu pakavu ungakuwa na hata robo tu ya utajiri wake, mbona ungeoa kila kitongoji
Mzee Mengi anakuza uchumi na pembeni Ana totoz wazuri,mtoe mama Mercy, utamkuta Lucy,madam Rita,k Lyn n.k Sasa hapo Sijui utasemaje
 
Mimi mwanaume nahitaji kuchovya every single day,unanisaidia vipi kwa hizo siku tano??? Labda tulale vyumba tofauti
Kwa haya matangazo ya nguvu za kiume tunayoyaona kila siku? Baadhi ya wanaume kwa kujitutumua jamani hahahaaahaha. Ila kweli bora kama kwingine kumekushinda, compensate tu kwenye ngono. A man who thinks maisha ya ndoa ni all about sex....Mungu tusaidie wanawake
 
Hata mimi siwezi nikawa na hela halafu nibaki nae mmoja tu. Ntakuwa kama Tiger Woods
 
Back
Top Bottom