Mwanaume kuwa na wake wengi: Sababu, faida na changamoto/hasara

One day I was 'incriminated' for not being able to cry on the incidence. Some of them r happy to c u cry. Its a sign of an 'approval' n that u r getting the best of everything...
Mh wengine wanajilidha uongo tu.hasa wanawake ilimrad kidume kiwahi kumaliza.
 
Hakuna tajiri let's say mtu Ni mkurugenzi,mbunge, waziri,mkuu wa idara,mfanyabishara mkubwa au millionaire afu awe Ana mwanamke mmoja ,hakuna mwanaume Kama huyo, nadhani wanaume wenzangu tunaelewana hapa,labda huyo mtu awe shoga,yaani mtu una pesa afu una mwanamke mmoja,bado hapajatokea mwanaume wa hivyo,Sasa dada zangu mnapopenda watu wanaume wenye hela huwa siwaelewi kabisaaa
FB_IMG_1543438094514.jpg
angalia mawaziri, wabunge na matajiri wote
 
Hakuna tajiri let's say mtu Ni mkurugenzi,mbunge, waziri,mkuu wa idara,mfanyabishara mkubwa au millionaire afu awe Ana mwanamke mmoja ,hakuna mwanaume Kama huyo, nadhani wanaume wenzangu tunaelewana hapa,labda huyo mtu awe shoga,yaani mtu una pesa afu una mwanamke mmoja,bado hapajatokea mwanaume wa hivyo,Sasa dada zangu mnapopenda watu wanaume wenye hela huwa siwaelewi kabisaaaView attachment 957482 angalia mawaziri, wabunge na matajiri wote
Mzee mengi ana wake wangapi?
 
Back
Top Bottom