Hakuna mwanaume tajiri mwenye mwanamke mmoja


Pablo Blanco

Pablo Blanco

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Messages
3,054
Likes
2,229
Points
280
Age
24
Pablo Blanco

Pablo Blanco

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2016
3,054 2,229 280
Hakuna tajiri let's say mtu Ni mkurugenzi,mbunge, waziri,mkuu wa idara,mfanyabishara mkubwa au millionaire afu awe Ana mwanamke mmoja ,hakuna mwanaume Kama huyo, nadhani wanaume wenzangu tunaelewana hapa,labda huyo mtu awe shoga,yaani mtu una pesa afu una mwanamke mmoja,bado hapajatokea mwanaume wa hivyo,Sasa dada zangu mnapopenda watu wanaume wenye hela huwa siwaelewi kabisaaa
fb_img_1543438094514-jpg.957482
angalia mawaziri, wabunge na matajiri wote
 
kurlzawa

kurlzawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Messages
4,437
Likes
4,791
Points
280
kurlzawa

kurlzawa

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2018
4,437 4,791 280
Hakuna tajiri let's say mtu Ni mkurugenzi,mbunge, waziri,mkuu wa idara,mfanyabishara mkubwa au millionaire afu awe Ana mwanamke mmoja ,hakuna mwanaume Kama huyo, nadhani wanaume wenzangu tunaelewana hapa,labda huyo mtu awe shoga,yaani mtu una pesa afu una mwanamke mmoja,bado hapajatokea mwanaume wa hivyo,Sasa dada zangu mnapopenda watu wanaume wenye hela huwa siwaelewi kabisaaa View attachment 957482 angalia mawaziri, wabunge na matajiri wote
Mzee mengi ana wake wangapi?
 
Miss Natafuta

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Messages
21,484
Likes
35,632
Points
280
Miss Natafuta

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2015
21,484 35,632 280
Mwanaume mwenye akili unatakiwa uwe Na wanawake wengi.huyu anasimamia mradi huu yule mradi ule ,nk.
Mwanaume mwenye mke mmoja lazima afe maskini.maana hawezi kufanya uwekezaji
 
mbere

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Messages
6,696
Likes
5,550
Points
280
mbere

mbere

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2015
6,696 5,550 280
Mwanaume mwenye akili unatakiwa uwe Na wanawake wengi.huyu anasimamia mradi huu yule mradi ule ,nk.
Mwanaume mwenye mke mmoja lazima afe maskini.maana hawezi kufanya uwekezaji
Miss tunaweza onana? Nakuja dar weekend hii
 
Khantwe

Khantwe

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
24,639
Likes
13,266
Points
280
Khantwe

Khantwe

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2012
24,639 13,266 280
Acha uchochezi miss waume zetu wanasoma comments zako ujue
Mwanaume mwenye akili unatakiwa uwe Na wanawake wengi.huyu anasimamia mradi huu yule mradi ule ,nk.
Mwanaume mwenye mke mmoja lazima afe maskini.maana hawezi kufanya uwekezaji
 
Miss Natafuta

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Messages
21,484
Likes
35,632
Points
280
Miss Natafuta

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2015
21,484 35,632 280
Yani wew hukubali kushindwa
Wewe kaa hapo Na mkeo mkisubiria tar 30.cheki hata wazee wetu zamani walikuwa Na Mali nyingi kwasababu walikuwa Na wake wengi Na familia kubwa
 
A

Albinoomweusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2016
Messages
767
Likes
749
Points
180
Age
48
A

Albinoomweusi

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2016
767 749 180
Bill Gates anao wake wangapi?
Hajasema mke kasema wanawake

Mimi nakusapoti mkuu wee angalia siku ukipokea mshahara genye zaja zenyewe
 
L

lukowe

Senior Member
Joined
Nov 26, 2018
Messages
114
Likes
115
Points
60
L

lukowe

Senior Member
Joined Nov 26, 2018
114 115 60
Ukiwa hauna pesa utaweza kuvumilia kukaa na mwanamke mmoja ila ukizipata ata kama una miaka 70 utahitaji mke mwingine
 

Forum statistics

Threads 1,238,950
Members 476,289
Posts 29,337,676