Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,332
- 14,255
Na vipi mimi kidume cha mbegu nikiamua kukaa tu bila kuoa??.
Mwanaume mwenye mume mkamikifu huwezi kumtongoza ukampata, maana haoni kipya utakachompatia, atakutukana na kukubeza TU. Lakini mwanamke mwenye mume dhaifu mwenye Mke mmoja TU na asiyechepuka ni rahisi sana kumpata.Kwa kukosa uelewa wengi watasema dhaifu ni yule mwenye mke mmoja! Lakini ukweli dhaifu ni yule asiyeweza kujizuia kila tako likipita! Wewe ni weak! Mwanaume halisi ana sifa zake! Ni yule asiyetikiswa na tako hovyohovyo! Sasa wewe na udhaifu wako huo unaweza kufanya maamuzi ya hovyo na kuharibu Mambo mengi katika jamii yetu! Kuna watu wametoa ajira kwa watu wasio na sifa kwa sababu ya rushwa ya ngono nk. Walisema hakuna mwanaume kama YESU hawamaanishi YESU alikuwa na wake wengi! Kuna sifa ziazomfanya aitwe hivyo! Na ngono siyo moja ya sifa hizo kwa taarifa yako!
Kwanza unatakiwa uthibitishe kwamba ni wapi tumekubaliana kwamba suala la wake wengi halina umuhimu mpaka ufikie kuuliza swala hili ?Kwa nini Allah atoe thawabu kwa suala ambalo halina umuhimu?
Pili uthibitishe ni wapi tumekubaliana kwamba suala la mathna ni kawaida tu na wapi nimesema ni kawaida tu suala la mathna ?Kama hilo suala la mathna lingekuwa kawaida tu kama unavyosema hapo basi Allah asingelitoa thawabu.
Naam ni MUHIMU sote tunakubaliana.Kwa Allah kutoa thawabu basi mathna ni jambo la muhimu, na Allah anahimiza hilo lifanyike.
Kuhimiza lifanyike hilo halioneshi ulazima bali linaonesha umuhimu,ulazima maana yake ingekuwa ni lazima na ukiacha unapata dhambi.na Allah anahimiza hilo lifanyike.
Bado isjaona hoja ya kujibu hapa.Nikupe mfano, kwenye saikolojia kuna nadharia fulani inaitwa conditioning kiswahili uzoeshi.
Ndio uone sasa kwamba hakuna adhabu kwa mtu ambaye ana mke mmoja eti aadhibiwe na Allah kwa nini kaenda against nature ya kuwa na wakw wengi..?Kwa mujibu wa nadharia hii, adhabu hutolewa kuzuia tabia fulani mbaya isijirudie
Naaam na zawadi hutolewa pia kwa jambo ambalo sio lazima lakini zuri.Upande wa pili zawadi hutolewa ili kuhamasisha tabia nzuri kuendelea kuwa nzuri.
Unarudia kule kule kwamba hatujadili umuhimu tunajadili ulazima.Sasa ndugu @safuher Allah anavyotoa thawabu (zawadi kwa yale mema) kwenye suala na mathna maana yake lina umuhimu na anahimiza hata kama ni option.
Lwngo la mifano hiyo ni kukufahamisha wewe ndugu ili upate kuelewa kwamba sio kila kilicho muhimu basi ni lazima.Tofautisha Kati ya kufunga sunna na kujisikia kiu, njaa, usingizi, joto, baridi, haja kubwa, haja ndogo, kudisa, kitamani, nk.
Kujisikia njaa hupangi huwa inatokea tu,sasa hapa duniani sio kwamba spte tunajisikia njaa pamoja.kujisikia njaa kwako
Pia katika kukojoa kuna watu wanakojoa mara tano kwa siku.kwenda kukojoa kwako
Kwa mujibu wa uislamu KIKUBWA NI UADILIFU.Kikubwa hapa sio uadilif
Uislamu umeweka wazi kuna mambo kama huwezi kuwa muadilifu usioe wake wengi.maana uadilifu ni kitu kinachoamuliwa na jamii ya watu Fulani kuhusu nini ni uadilifu na nini sio uadilifu (social construction),
Naaam hili halina shida lakini mbegu nyingi hizo hazimaanishi kwamba eti ni lazima ukazitoe kwa wanawake tofauti.lakini kitandani, kudisa, kuwa na mbegu nyingi zinazozalishwa na korodani ni kwa wanaume wote hata kwa viumbe wengine.
Sawa kama kuwepo kwa barabara sio maana yake kwamba ni lazima gari ipite kila muda.Miundombinu ya kuwa na Mke zaidi ya mmoja Iko kwa wanaume wa viumbe vyote.
Toa sababu ya kueleweka kwa nini usiwe mwanaume kamili ukiwa na mke mmoja ?Wewe huwezi kusema unaweza kuwa na Mke mmoja
Hapa usiseme kwamba sio mwanaume kamili bali kwa ujumla,hapa utaonesha ni namna gani sio muadilifu.au usiwe kabisaa na mwanamke halafu ukajiita mwanamke kamili
Haya ni maoni yako tu ya kulazimisha kitu kiwe lazima kwa watu wote,lakini bado hakuna uthibitisho wa maoni yako haya.Na mwanamke mwenye Mke mmoja tuuu kweli hata akili yake au tabia yake lazima Ina kasoro Fulani Fulani ambazo hata ndugu zake wa karibu wanaziona kwa macho ya nyama.
Sasa akma ambavyo unakataa kwamba issue sio ovulation maana yake unakubalk kwamba sio wanawake wote wako hivyo.Issue hapa sio ovulation
Naaam kwani nani naakataa.lakini mwanaume halisi anasisimuliwa na sauti, umbo, kunusa, kuona, kupapasa, simulizi na hata kufikiria TU,
Haya yote mwanamke nae pia huyapata endapo akiyapata na kufanyiwa.wakati mwingine anasimamisha hata akishikwa na mkojo au ndotoni, joto LA mwanamke na kupapaswa. Hii ni kwa viumbe wote. Sasa wewe inamaana hauko kamili.
Ng'ombe dume atazaaje.Sasha kaka, Mimi ni mfugaji pia, yapo madume ambayo ni wavivu zizini, hayana hekaheka kazi Yao kulala na kulala ng'ombe hawazai.
Onesha uthibitisho kwamba mume wa kuamua leo apande au asipande ati hayuko sawa.Hata wewe inawezekana ni mume wa aina hii, unahiyari Leo upande au usipande
Mimi siwazungumzii hawa.Ili udise lazima uvutwevutwe na mkeo ndio uume ushituke na ukishapiga kamoja basi inakutosha unaendelea na usingizi. Waume wa hivyo wapo lakini tunawaita abnormal
Mume halisi pia anaweza kuchapa mwanamke mmoja mara tatu kwa siku na mara zote akafurahia tendo la ndoa hilo.Mume halisi ana uwezo wa kuchapa wanawake 3 kwa siku moja na wote wanafurahia tendo LA ndoa
Kumbe sasa kuwa na wake wengi sababu itakuwa mwanamke anashindwa kuhimili mapigo hivyo anaomba msaada.Ukiwa na Mke mmoja lazima akwambie duu nimechoka Leo mume wangu bado kunauma huko chini. Yaani peke yake hakuwezi anaomba msaada wa wanawake wenzie.
Maana yake sasa ni kuwa wapo wanawake ambao peke yake anamuweza mume,hivyo suala al kuoa wake wengi ati kwa sababu hamuwezi mume inakuwa halipo.Yaani peke yake hakuwezi anaomba msaada wa wanawake wenzie.
Kuwa na Heshima kidogo,jadili hoja usinijadili mimi.na huwa sijibu mipasho,najibu hoja mkuu.Sasa wewe unanitia Mashaka makubwa. Kama siku Mke wako atakutana na mume halisi ndoa yako itakuwa mashakani.
Haya ni maoni yako tu.Mwanaume kwa usiku mmoja ana uwezo wa kupiga 3 hadi asubuhi na mchana anaweza kuchapa wanawake wengine 2. Anachohitaji mume ni afya, chakula kizuri, pesa na utulivu wa akili basi.
Mada hapa ni wanaume kutokutosheka iwe wanne au zaidi au chini ya.Kwani hata ukioa hao wanne utaacha kuwa na wanawake wengine? Hiyo ni tabia!!
Anawajaza ujinga.Kwa hiyo umejichukulia kuwa hauwezi kuwa na mwanamke mmoja, hata pasipo na ulazima?
Ni kweli. Na Kuna wanawake(wachache) wana mume zaidi ya mmoja baba usijidanganye.
Naona tunarudishana nyuma ndgu. Naomba basi nipe elimu sheikh.Kwanza unatakiwa uthibitishe kwamba ni wapi tumekubaliana kwamba suala la wake wengi halina umuhimu mpaka ufikie kuuliza swala hili ?
Hatujadili kuhusu umuhimu hapa tunajadili kuhusu ulazima.
Kama ambavyo kuoa mke mmoja ni muhimu lakini sio lazima ikiwa utaweza kukaa na kujizuia.
Hivyo hoja sio umuhimu bali hoja ni ulazima.
Pili uthibitishe ni wapi tumekubaliana kwamba suala la mathna ni kawaida tu na wapi nimesema ni kawaida tu suala la mathna ?
Hoja ni ulazima sio ukawaida.
Hakuna sehemu nimesema mathna ni kawaida tuu,unapoingia katika mijadala kama hii unatakiwa uwe makini usimsemee mtu.
Naam ni MUHIMU sote tunakubaliana.
Kuhimiza lifanyike hilo halioneshi ulazima bali linaonesha umuhimu,ulazima maana yake ingekuwa ni lazima na ukiacha unapata dhambi.
Kama ambavyo allah katilia mkazo suala la kusalimiana lakini iso lazima kusalimia na usiposalimiia hupati dhambi.
Kama ambavyo Allah katilia mkazo na umuhimu suala la kulipa kisasi lakini sio lazima kulipa kisasi na usipolipa kisasi hupati dhambi.
Kwa hiyo kutiliwa umuhimu kwa jambo hakuoneshi ulazima wa jambo hilo bali kunaonesha umuhimu wake.
Mambo mengi ni muhimu lakini sio lazima katika uislamu.
Muhimu saaana kuvaa nguo nyeupe lakini sio lazima.
Muhimu saaana kufanya mahari iwe ndogo lakini sio lazima.
Bado isjaona hoja ya kujibu hapa.
Ndio uone sasa kwamba hakuna adhabu kwa mtu ambaye ana mke mmoja eti aadhibiwe na Allah kwa nini kaenda against nature ya kuwa na wakw wengi..?
Ushaona adhabu hiyo ?
Naaam na zawadi hutolewa pia kwa jambo ambalo sio lazima lakini zuri.
Kama ambavyo mtu hupewa zawadi ya thawabu akisali rakaa mbili za sunna lakini hiyo sunna sio lazima.
Hapa hatujadili umuhimu tunajadili ulazima sawa ?
Unarudia kule kule kwamba hatujadili umuhimu tunajadili ulazima.
Allah kahimiza watu wasimame usiku kusali, leo kwa ufahamu wako utasema ni lazima utaanza kuwagongea watu milango na kuwaamsha wasali kwa lazima kwa sababu allah kahimiza hivyo.
Elewa vizuri ndugu yangu kinachojadiliwa ni ulazima sio umuhimu.
Hapa sote tunakubaliana kwamba suala hili ni muhimu kama ilivyo muhimu kusali usiku lakini iso lazima.
Hivyo ndugu @Dreanought
Ulizima mbona upo na sababu yake ni natureKwa hiyo umejichukulia kuwa hauwezi kuwa na mwanamke mmoja, hata pasipo na ulazima?
Nijibu kwanza swali hili..Kwa nini Allah anatoa thawabu kwa wanaume wenye mathna?
Ni kwa sababu ametaka kutoa thawabu ndio maana katupa thawabu.Kwa nini Allah anatoa thawabu kwa wanaume wenye mathna?
Wanawake wenyewe hawana mwanaume mmoja.....
Relax tu!!!!
Mimi si muislam, lakini kwa mujibu wa uislam Allah alituumba wanadamu tumuabudu, kwa hiyo kuswali usiku na kufunga ni ibada ambazo humfurahisja Allah napo hutoa thawabu.Nijibu kwanza swali hili..
Kwa nini allah anatoa thawabu kwa mtu anayesimama usiku kusali,au mtu ambae anafunga jumatatu na alhamisi,kwa nini Allah anatoa thawabu kwa watu hawa ?
Unazunguka mkuu, thawabu ni zawadi na siku zote zawadi hutolewa kwa jambo ambalo ni zuri.Ni kwa sababu ametaka kutoa thawabu ndio maana katupa thawabu.
Na sio kwa sababu tumetaka sisi tupewe thawabu ndo katupa hapana,ni matakwa yake kaamua kwamba jambo hili mja akifanya nampa thawabu.
Una swala lolote kwa jibu hili ?