Hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja, mama usijidanganye

hahahahahaha
Kaka hawa ni wanaume ambao wanasababisha wake zao kutokwa na mimba, kuzaa watoto njiti, na kulazimisha sex hata kama wake zao wanaumwa, wamechoka, wana huzuni au hawajisikii kufanya tendo. Mimba zinaharibiwa na mijianaume mijinga kama hii na watoto wanazaliwa kabla ya muda wao kwakuwa lijitu linataka ngovu kama starehe na kijianamke hichohicho hata kama kina udhuru, na wangine wanawakataza hata kufanyakazi, kwenda kusoma, kwenda kusalimia, nk kwa kusingizio eti nitasex wapi na wivu. Mbona majike ya simba, ng"ombe, kuku, mende, nyoka yote yanafanyakazi na kulea watoto wao wenyewe?
 
Wapo hakika!
Mungu anawatu!

Kuna dhambi nyingine watu hawahusiki kabisa.

Kuna watu hawajawahi kuonja pombe hata siku moja hadi uzeeni kamwe hawanywi pombe.

Kuna watu hawajawahi kwenda kwa waganga wa kienyeji maisha yao yote hata siku moja.
Hivyo kwenye dhambi ya ushirikina huwapati.

Vivyo hivyo kwenye dhambi ya uasherati na uzinzi kuna watu hawahusiki kabisa maisha yao yote.

Mungu ana watu wa kariba tofauti tofauti sana, lisilowezekana kwako kwa mwenzio linawezekana.

Kuna watu wananguvu za kushinda tamaa za kujiendekeza.
Pombe, kwenda kwa waganga, kunywa mtori, kwenda mji fulani hivyo ni vitu vya hiari, utavifanya kwa utashi wako, lakini sio sex. Sex huwezi kuizuia na ukabaki salama. Hamu ya Kutenda x itakufanya usijisikie njaa, kiu, kufanya chichite. Mapenzi yanaua na huwa wanaua na kujiua.

Usijidanganye hapo, moenzi wako wa sasa ni moenzi wa zamani wa mwingine. Mkeo alikuwa na mpenzi wake zamani, mukeo alikuwa na mpenzi wake zamani.
 
Haijalishi kuwa wewe ni dini gani, kabila gani, una kazi gani na cheo gani hapa duniani, mfumo wa uzazi wa mwanaume unafanana Na mifumo ya uzazi ya wanaume wengine wa viumbe vingine, hasa wale wenye uti wa mgongo (vertebrate) Na wanaonyonyesha (mamalia).

Viumbe walioko kwenye kundi hili wanaume wanakuwa wachache kuliko wanawake kwa sababu mbalimbali za kabla ya kuzaliwa, wakati wa kuzaliwa na baada ya kuzaliwa. Hivyo wanaume wamepewa uwezo mkubwa wa kutamani Na Kumudu kutembea Na kuzaa Na wanawake wengi kwa wakati mmoja.

Kama mfugaji anavyohitaji majogoo, mabeberu, madume wachache kwa majike wengi bandani au zizini ndivyo hivyohivyo unavyohitaji mwanaume mmoja kwa wanawake zaidi ya mmoja, na hiki kinafanyika utake usitake, ujue usijue, uambiwe au usiambiwe.

Kiuhalisia wanyama wote akiwemo binadamu wana wivu mkubwa, hawapendi kuchanganywa, lakini kama kila mume angebaki na Mke mmoja yafuatayo yangetokea kwenye jamii:

1. Wanawake wengi wasingepata mabwana, wangebaki bikra.

2. Hasira na chuki kwenye jamii ingekuwa kubwa.

3. Sonona, depression ingekuwa kubwa. Kukosa bwana kunachanganya.

4. Population, idadi ya watu ingepungua. Wanawake wengi wasingezaa kwa kukosa mbegu.

5. Idadi ya watu wanaozaliwa na hitilafu ingekuwa kubwa sana.

6. Wanawake wangebweteka sana hadi kuwa wachafu, wavivu, na wajeuri kupindukia.

7. Wanawake wangeuana wenyewe kwa wenyewe ili wapate nafasi itakayoachwa wazi.

Asitokee mwanamke atakaejigamba kuwa yuko peke yake, hata wanaume pia kwa kiasi Fulani.

Kinachotofautiana ni idadi ya wanawake alionao mwanaume na kiwango cha kujificha, usiri mkewe au mumewe alichokuwa nacho.

Jamii ihalalishe ndoa za wake wengi ili iwe huru badala ya kuendesha mambo kwa kificho.

Nonsense
 
Ukweli ni kwamba hakuni kujamiana kama starehe tu, maani ndani ya manii(shawaha) kuna mbegu hai zinazofaa kwa urutubishaji wa mayai ya wanawake ili kutunga mimba Na kuwa mtoto hai wa kike au wa kiume. Unaposex kwa starehe tu bila kusudio LA kuzaa sio sawa kabisa.

Maana yake usifanye sex Na hawa wafuatao:
1. Mwanamke mwenye mimba.
2. Mwanamke aliyeko kwenye hedhi
3. Mwanamke aliyemaliza mayai ya uzazi (menopause)
4. Mwanamke asiyeweza kuzaa.
5. Mwanamke mgonjwa.
6. Mwanamke anaenyonyesha.

Kutembea Na makundi haya ya wanawake kuna madhara yake Na sio sawa kabisa. Siku zote Fanya sex Na mwanamke anaetaka kuzaa usitembee Na wazee.
 
Itawezekana kweli?
 
Sio kweli kabisa unachosema, lazima wewe una kasoro ya kiume, tena kubwa. Walishindwa hata manabii, maaskofu, masheikh, marais wakubwa, nk, sembuse wewe?
Huu ndio mtazamo potofu kabisa. Kama wewe kichwa chako kimetawaliwa na uzinzi na kushindwa kujizuiya haihalalishi kwamba ndio maisha ya watu wote. Pale mwanzo umeambiwa wewe sio msemaji wetu na usitusemee. Acha tusemee wenyewe nafsi zetu, wewe endelea kumsifu ibirisi kwa uzizinzi unaohalalisha. Hao uliowataja kama roll models wako pia sio wote walio kwenye kundi lako ila wazinzi na waasi kama wewe wanaotaka kuaminisha umma kwamba maisha yao machafu niya wanaume wote wapo. Mwenyezi Mungu akuonekanie uweze kutambua nafasi yako na kufahamu nini amekuitia hapa duniani ili mwisho wako uwe mzuri.
 
Sio kweli, hujawahi kumjua mke mwingine huko nyuma? yaani kufumba na kufumbua ni huyo tu. Na huyo mke uliyenae unadhani wewe ndiye wa kwanza kumkwichi? Usijidanganye mwenyewe.
Kwani kufanya jambo ndio kuliishi? Tofautisha maisha na matukio. Tamaa zinaweza kuepo lakini sio kwamba udhaifu uliona wa kutokua na msimamu wa kuzishinda tamaa ndio maisha ya wanaume wote. Jiheshimu, tambua nafasi yako na kuwa na hufu ya Mungu.
 
Huu ndio mtazamo potofu kabisa. Kama wewe kichwa chako kimetawaliwa na uzinzi na kushindwa kujizuiya haihalalishi kwamba ndio maisha ya watu wote. Pale mwanzo umeambiwa wewe sio msemaji wetu na usitusemee. Acha tusemee wenyewe nafsi zetu, wewe endelea kumsifu ibirisi kwa uzizinzi unaohalalisha. Hao uliowataja kama roll models wako pia sio wote walio kwenye kundi lako ila wazinzi na waasi kama wewe wanaotaka kuaminisha umma kwamba maisha yao machafu niya wanaume wote wapo. Mwenyezi Mungu akuonekanie uweze kutambua nafasi yako na kufahamu nini amekuitia hapa duniani ili mwisho wako uwe mzuri.
Kaka wewe huna kazi nyingine hapa duniani zaidi ya kuzalisha wanawake, Kazi nyingine zote ni nyongeza na za kujitakia. Kila unachokifanya hapa duniani ni kukusaidia tu uweze kuzaa watoto wengi. Ni upuuzi mkubwa kumlala mwanamke mwenye mimba tayari au mwenye mtoto mchanga. Hata mbwa hafanyi hivyo. Unammiminia mishahawa yako Mzee asiyezaa tena unatafuta nini mwehu wewe? Peleka hizo mbegu zinakohitajika, vinginevyo usisex kijinga hivyo, unamfurahisha nani?
 
Mjinga ni wewe unayejua kwamba kazi yako ni kuzaa. Kama wote wangewaza kijinga kama wewe leo hii tusingekua na meadia na platform kama hizi.
 
Kwani kufanya jambo ndio kuliishi? Tofautisha maisha na matukio. Tamaa zinaweza kuepo lakini sio kwamba udhaifu uliona wa kutokua na msimamu wa kuzishinda tamaa ndio maisha ya wanaume wote. Jiheshimu, tambua nafasi yako na kuwa na hufu ya Mungu.
Sikulaumu, maana jamii imekupotosha sana, na sio wewe tu na wala sio kosa lako. Lakini wewe umeumbwa na kuzaliwa mwanaume kwaajili ya kazi moja tu ya kuzalisha wanawake baasi. Na mwanamke ameumbwa na kuzaliwa mwanamke kwa kazi moja tu muhimu ya kubeba ujauzito na kuzaa baaasi, kazi nyingine zote tumepeana tu humuhumu duniani. Ni upuuzi mkubwa usiovumilika mbele ya Mungu mwanaume kubaki na mbegu kiunoni mwake wakati wako wanawake mahala ambao wanakosa mbegu bora za kupata ujauzito na kuzaa. Na mbaya zaidi kuliko yote mwanaume huyu lofa anatembea na mwanamke mjamzito tayari, mwenye kitoto kichanga tayari, aliyemaliza kuzaa tayari, yaani hana mayai tena ya uzazi. Yaani kufanya hivi ni sawa na mkulima mpumbavu ambae anapanda mbegu ya mpunga kwenye jabari/mwamba kwa kujifurahisha tu.

Kama mkeo amekoma kuzaa, mayai yameisha. menopause hafai kumiminiwa shahawa tena. Anafaa kwa mambo mengine mengi tu lakini sio sex, sex ni kwaajili ya kuzaa viumbe hai tu, sio kwa starehe kaka. Mbona hata nguruwe, mbuzi, tumbili na nguchilo wanalifahamu hili?. Unachosema wewe sio mpango wa Mungu bali maoni ya wanadamu waliodanganywa na dini zao. Eti unavumilia, mungu hajakutengeneza uwezo wa kuvumilia vitu ambavyo vinajiendesha vywenyewe (autonomic systems) kama vile kudisa, kuhema, mapigo ya moyo, kupepesa macho, kukasirika, kulala usingizi, kujamba, kwenda haja kubwa na ndogo, nk. Ukiona wewe unaweza kuzuia kimojawapo kati ya hivyo ujue kuwa wewe ni mgonjwa, una hitilafu mahali fulani kwenye mwili wako. Mwanaume kamili huwa anachapa chapa chapa, disa, disa, disa kwa warembo wenye maumbo na sura mbalimbali na kusababisha ujauzito kwa wanawake wengi kadiri inavyowezekana. Hii ya kulisha, kutibu na sijui kusomesha watoto huo ni mpango tofauti kabisa na malengo ya kuzaliwa wewe ukiwa mwanaume. HUkuzaliwa na pesa wala magunia ya viazi, lakini umezaliwa na viungo vya uzazi (uume na korodani) na hisia za kutamani na kudisa basi. Hayo mengine ni utashi tu.
 
Iwapo Mwenyezi Mungu ameagiza ndoa iwe ya mke mmoja na mume mmoja maana yake Mungu anajua inawezekana kufanyika hivyo sababu yeye ndiye alowaumba mtu mke na mtu mume.
 
Iwapo Mwenyezi Mungu ameagiza ndoa iwe ya mke mmoja na mume mmoja maana yake Mungu anajua inawezekana kufanyika hivyo sababu yeye ndiye alowaumba mtu mke na mtu mume.
Mungu sio mjinga wa kiasi hicho. Kama Nia ingekuwa hiyo ya mke mmoja basi wanadamu tungezaliwa mapacha ya watoto mume na mke kila MIMBA ili idadi ya wanaume na wanawake ilingane kwenye jamii. Mbona kwa njiwa amefanya angeshindwa nini kwa binadamu? Angetaka hiyo ya mke mmoja basi angekupa password ya kumuingilia mkeo tu peke yako ili wengine wasiweze. Tusimpakaze mungu uongo wetu. Mafundisho yametupotosha sana. Ndio maana zipo Kesi nyingi za ngono kw hata watu wa dini kwa kuwa hii ni amri kutoka kwa mungu mwenyewe kwa viumbe wake wooote. You can not go against nature. Primary function ya mwanaume ni kutia MIMBA na primary function ya mwana mke ni kubeba MIMBA,kuzaa, na kunyonyesha. Mambo mengine yoote ni secondary na tunafanAna tu. Kupika, kufua, kufagia, uongozi, urais nk ni kazi za wote tu except kutia MIMBA,kubeba MIMBA, kuzaa na kunyonyesha.
 
Back
Top Bottom