YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,908
- 51,904
Chadema zingatieni ushauri huu "Raisi Lincoln wa marekani aliwahi sema wanasiasa pekee ambao walifanikiwa kisiasa na kufika mbali sana kisiasa ni Wale wanaoshauri sio wanaokosoa kwa roho mbaya na lugha isiyo na staha " Chadema kama mna long term focus Ya siku moja kushika nchi hilo la muhimu ila kama mna short term focus ya kuishia tuvyeo tudogodogo twa ubunge na udiwani endeleeni na wehu wenu. Mtaishia kujisifia ninekuwa mbunge au diwani kwa miaka 20 leo nasherekea mwaka wa 20 Kama mbunge au diwani mhenga na kibibi au kibabu kilichokaa muda mrefu kuliko diwani au mbunge yeyoye wa CCM!!! Hiyo Ndio CV yangu kali!!!!!!