Hakuna mwanajf dreva taxi?

hebu check na Mtambuzi ila cna uhakika kama bado ana kile ki corolla chake cha mkopo ama kishapigwa mnada baada ya kushindwa kulipa deni la HABIBU BANK.....
 
Last edited by a moderator:
mama magezi amegoma kunifata sijui nitoke vipi lakini nikitinga na taxi afu dreva Preta lazima a bro mapigo!
 
Last edited by a moderator:
hivi hakuna dreva taxi wa kike? mjulishe tafadhali.

by the time naishi dar nilikuwa napiga deiwaka mitaa ya rose garden... bahati nzuri nikapata mteja husband material akaniweka ndani.... ngoja nikupe no. ya mdada mmoja tuliyekuwa naye ni 076300009
 
Aje anipeleke home,nipo break point town.nimepiga maji hatari!

Mtafute Ismail Aden Rage, ni mwenyekiti mstaafu wa chama cha madereva Taxi mkoa wa Tabora.
Ni matumaini yangu kuwa hajasahau taaluma yake...
 
mama magezi kaamua kunifata,kumbe anatupia macho humu.wivu huu!
 
Mcheki mshikaji anaitwa Issa Ponda mitaa hiyo ni dereva mzuri sana # yake 0713800800
 
Back
Top Bottom