Hakuna mtu anayependa kuishi Uswahilini. Hata sisi Waswahili tunatafuta nyumba na viwanja mbali na Uswahili

Wenzako wanashindia ugali na matembele mixer na dagaa mchele. Ukinywa bia tu mtaa mzima wanasema unajifanya una hela. Bia yenyewe Balimi 1300. Uswazi sio pa kuishi unaweza kurogwa kisa Balimi.
Uswahilini maisha ni afueni sana, unaenda gengeni na 500 inatosha mboga. Unaweza kupata kikombe cha maharage yaliyopikwa kwa mama ntilie
 
Uswahilini maisha ni afueni sana, unaenda gengeni na 500 inatosha mboga. Unaweza kupata kikombe cha maharage yaliyopikwa kwa mama ntilie
Sawa, mnatupiga majungu sana tunaokunywa Balimi. Yaani unamchukia mtu kunywa Balimi sh 1300 tu, mpaka mnaturoga. Hapafai kabisa. Tunaishi kwa shida tu.
 
Umbea ni tabia, kuna wazungu wambea Kwamtogole tunasingiziwa.
Uzuri ni kwamba we unakaa uswahilini for fun. Ushayachoka maisha ya kishua ila sisi tunaomba deile mungu atukunie nazi tukaishi hata Kawe tu. Huku K'Nyamala jau jau sana!!!
 
Uzuri ni kwamba we unakaa uswahilini for fun. Ushayachoka maisha ya kishua ila sisi tunaomba deile mungu atukunie nazi tukaishi hata Kawe tu. Huku K'Nyamala jau jau sana!!!
Hivi kaka unaweza kushinda bahati nasibu ya kijani ya kuishi kwa Trump lakini ukaamua kuishi Tanzania for fun?
 
Wapi kama Uswazi? Uzunguni ukiends Ulaya unakutana nako
Hebu fuatilia kile kibao (wimbo) "uswahilini kuna vituko...". Uswahilini......., nakumbuka sana yale maisha. Fikiria vile huna mkaa na unataka kupika. Utatembea na jalo nyumba tatu tu kuomba moto, unapata mkaa wa kupikia hadi kesho
 
Baba mkwe akija kuwasalimia unachukua 1/4 kuku kwa kuuza chips, unamtengenezea mchuzi fresh ukimtengea unaomba asiseme niongeze mboga.
 
Naturally Kuna watu wanapenda kukaa uswazi, Mwamnyange aliyekuwa msemaji was polisi alikataa kukaa Oyster Bay ushuani, sio kituo cha polisi akataka akae Buruguni, eti uzunguni atakuwa mpweke.
Kuna watu wanaishi uzunguni lakini kila siku wanarudi nyumbani late sababu ya upweke wa kukosa company
 
Uswahilini:-
Majungu
Watoto watacheza na waswahili
Uchawi
Khusda
Maneno maneno
Yes, unaweza kuwa na choo ndani ila kumbuka wakati unarudi mishe lazima watakuona na hapo ndio shida inapoanza hadi kufikia hatua ya hayo niliyotaja hapo juu kujitokeza.
Mfano:-
Nimeamia Mtaa fulani hapa Dar ila baada ya wiki tu! Kaja mama mmoja jana anijui na wala simjui ila anataka elfu 30 nimkopeshe.... kama sio sababu ni nini?
Hapa anatafuta sababu ya kutogana tu!
Ila kwa kuwa nakaa kwa muda nitavumilia.
 
Tukutane kwa lulenge, tule vishingo na miguu yakuku mixer utumbo.
Then tukapige vyombo vyetu matejoo
 
Uswahilini mnakokukimbia ni wapi? Inawezekekana mnakimbia kushirikiana jiko, choo na bafu kwanye nyumba ya kupanga lakini hata Manzese, Mbagala, Mwananyamala kwa Kopa Kinondoni Shamba kuna nyumba self contained na gate kabisa mlangoni, ukiingia na gari yako hakuna mtu anaejua maisha yako.

Nifundisheni huu uzungu unaofanya mkimbie Uswahilini. Huko Uzunguni kuna nini cha ziada? Au oxygen wanauovuta ni tofauti na hii ya kwetu?

Uzungu na Uswahili unaubeba mwenyewe na jifunze jinsi ya kuishi na watu wanaokuzunguka
Nasikia Kuna magari pia ya uswahilini
 
Back
Top Bottom