Hakuna mtanzania anayelala na kuota ndoto kwa kiingereza. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hakuna mtanzania anayelala na kuota ndoto kwa kiingereza.

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Alfred Daud Pigangoma, May 9, 2012.

 1. Alfred Daud Pigangoma

  Alfred Daud Pigangoma Verified User

  #1
  May 9, 2012
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,778
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Ndugu wana JF.

  Nimefurahishwa na mazungumzo yaliyoongozwa na Mtangazaji aliyewauwa CCM wakati wa Mchakato majimboni maarufu kama SHABAN KISSU (KIWEMBE) katika kipindi cha LULU ZA KISWAHILI. Ambapo Diwani wa Morogoro Nd. ROBERT SELASELA alisema hakuna sababu ya kuandika kiingereza kwenye mikutano ya Halmashauri na wala hakuna sababu ya kupoteza fedha kwa ajili ya kuandika katika ya Kiswahili na Kiingereza kwani HAKUNA MTANZANIA ANAYELALA NA KUOTA NDOTO KWA KIINGEREZA.............
   
 2. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  hiyo kali, ndoja wajumne waje tuone
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  May 9, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Haaaaaa mambo ya mpoki hayo!!!
   
 4. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #4
  May 9, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,872
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  Si kweli! Kuna watu wanaota wanakamilisha thesis zao, hizo huwezi kuota kwa kiswahili au kikwenu!
   
 5. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #5
  May 9, 2012
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,565
  Likes Received: 3,861
  Trophy Points: 280
  Duh hii kali!!
   
 6. Mama wawilii

  Mama wawilii Senior Member

  #6
  May 10, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 143
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Mmmh wapo,watanzania waishio nje ya tanzania
   
 7. S

  Safhat JF-Expert Member

  #7
  Jun 2, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 270
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I dreamed i waz taken in "dreamland" & waz spkng eng wid ma room mate hu woz da prince of da land..so it happenz smtymz..ha! ha! ha!
   
 8. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #8
  Jun 2, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Mbona mimi naota kiingereza hadi kiarabu? Ila inatokana na watu wanaokuzunguka wanatumia lugha gani
   
Loading...