Dini gani na kabila gani...?kwa taarifa yako watu , wanasumbuliwa hadi vitambulisho vya sheia kila kukicha.Wazenj waliozamia bara wananunua ardhi back home kwa vile wana reference za ndugu zao ..zanzibar kila kitu ni km hadithi ..kupitia kwa fulani na fulani na fulani.....utaulizwa msururu wa watu km unawajua kw akila kitu..kuanzia kuoa, kukodi chumba kwa wenyeji vijijini, hadi kununua ardhi..na ukienda kipindi cha kura hata km ni mzenj mlowezi bara labda uwe na mamlaka au auna jamaa wenye mmlaka..patachimbika.
Hata kuoa mzenj aliyezamia km hana reference ya ndugu mkazi kabisa na mtu wa watu kule hakuna kuoa.
Nicholas mimi ninamiliki ardhi zanzibar na kwa taarifa yako baada ya mapinduzi Zanzibar wabara waliokuwa wanataka kuishi zanzibar walikuwa wakipewa ekari 3 sawa na mzanzibari wa wakati ule na hawaondoki ng'o zanzibar wamefika (Ndio hao akina Augustino Ramadhani na Balozi Sepetu). Nyie mnapenda kuzua mambo ya uongo uongo. Na nakutuma nenda bububu utakuta wakristo kibao wanamiliki ardhi kule, nenda mpendae na kwa mchina kuna hadi kanisa kubwa limejengwa kule.
Tushawazoea humu jamvini na viwanda vyenu vya uongo.