Hakuna msamaha wa Rais wa kifungo cha nje, Magereza jitafakarini

hehe Lulu ajiandae kuliwa hehehe mwigulu anataka akasafishe ofisi yake mmhh..duu
 
Katika ule mwendelezo wa kila jambo lenye mwangwi katika taifa letu kutaka Rais asikike, hatimaye Magereza nayo yaingia mkenge.

Haiwezekani barua moja iwe na maamuzi ya taasisi tatu. Katika barua iliyotelewa rasmi kwa umma inajikanganya kwa mambo makuu matatu.

Kwanza kabisa sijadili Lulu kutoka ni sawa au si sawa. Najadili nani kamtoa na katokaje.

La kwanza Magereza wanasema katolewa nje akatumikie kifungo cha nje kwa amri ya Mahakama, hilo nakubali Mahakama inaweza kumtoa mtu kwa sababu mbali mbali.

Pili Magereza inaweza kumtoa mtu akikidhi masharti ya Magereza kwa vigezo mbali mbali vilivyowekwa katika taasisi hiyo. Taarifa hizo kuziwakilisha wizara husika juu ya maamuzi hayo.

La tatu ni hili la kusema Rais kamsamehe mfungwa, wakati huo huo akatumikie kifungo cha nje. kwa hili ndio nalisikia leo. Ninachojua msamaha hauna masharti. Umesamehewa nenda kaanze maisha uraiani inatosha.

Sasa hili la Lulu kutolewa nje kwa msamaha wa rais sambamba na order ya Mahakama kwamba akatumikie kifungo cha nje linajichanganya na sijalielewa kabisa.

Kwangu mimi huu ni mwendelezo wa taasisi kujipendekeza kwa mhimili uliojichimbia zaidi pasipo kutimiza wajibu wao kwa kuzingatia taratibu zake.

Soma mwenyewe barua hapa;

View attachment 777682

View attachment 777683
Ninaomba Lulu uwaambukize ugonjwa wa kufa sizonje, mwigulu, bashite wafe kabisa!! Najua watakukula tu!
 
Lengo kuu la awamu ya 5 ni kutafuta kiki kwa bei rahisi , baada ya Babu Seya kubuma , wanatafuta kiki nyingine , zipo tetesi kwamba muda mfupi ujao watalazimisha kaburi la Kanumba lifukuliwe ili uchunguzi ufanyike upya !
Tunasubiri DREVA aje toka Ubelgiji haojiwe!
 
f6354b3f1b9d6e10ec06de500c3e0582.jpg
 
Dady is coming! Huyu jamaa hakika ana nuksi. Kila jambo analojiingiza kulisemea hata likija kutokea kwa nia njema basi lazima litaleta mkanganyiko.
Sizonje hakika jiepushe na huyo Bashite, yasije kukukuta ya yule wa Kuwait Saddam maana naye kaponzwa na wapambe wanafiki kama yule Alsahaf
ww ndio hauna nuksi watu wafate utumbo unaoandika humu
 
hahaaaaa hahaaaaa hahaaaaaa Haa. ...simtazitumia kwa Watoto Wazuri wengine ..wataka kuniambia hili taifa linauhaba wa wanawake Wazuri mpaka wote "" mumng'ang'anie huyo huyo mmoja ??
Yeye ana sukari.
 
Back
Top Bottom