Uchaguzi 2020 Hakuna mbunge wa upinzani 2020 atayerudi bungeni

Mbeya kwa sasa Sugu tumemchoka..aende atafute kazi nyingine...kazi ni mayowe ya ku rap ndio anayaweza..baaasi...siasa za ukweli haziwezi...na wala katika kipindi chote hakuna alichofanya hapa...uozo mtupu..kama kuna lolote kafanya mtu aseme hapa..
Kwani CCM mmefanyia nini TZ, imekuwa ya mwisho kiuchumi duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasiporudi wabunge wafuatao Zitto,Mnyika,Nape,Halima mdee,Bashe,Lijuakali,Sugu,Bwege,Mwigulu,Makamba,Mbowe,Lema,Mbatia Na Lissu Kama hatagombea urais bunge litapwaya Sana kwakweli
 
Mawazo ya kitoto haya eti hakuna atakaerudi! Hata mtoto wa darasa la
Pili kashangaa
Kanu ilikufa sembuse CCM? Wanachi wakiona haki zao zinabinywa watazitafuta kwa njia nyingine. WanaKanu walikua na mawazo
Kama
Hayo lakini sasa KANU ipo wapi??
Wanaomtaka
Nani awaongoze ni wananchi.
Nadhani 2020 sion haja ya uchaguzi kwan mazingira yaliyopo hautakua huru na haki kuliko kumaliza pesa za uchaguzi ambao majibu tunayo nashauri tuendelee na Uongozi wa sasa na fedha hizo zipelekwe kukuza elimu miundombinu na afya


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom