Uchaguzi 2020 Hakuna Mbunge CHADEMA anayeweza kushauri kugomea uchaguzi mkuu 2020

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Ndugu zangu,

Ikitokea mtu awe kiongozi au mwana-CHADEMA akamshauri Mbowe na wabunge wake wagomee uchaguzi mkuu 2020 ajiandae kufukuzwa au watagawana mbao na kukizika chama.

Siasa ni ajira na wengi ni wachumia tumbo sasa itakapotokea eti mtu kwa mfano anamshauri Lema au Mbowe kutogombea ubunge mwaka 2020 ajiandae kuitwa msaliti. Uongozi wa Chadema umeamua kuweka mpira kwapani kwa sababi hakuna mtu kwenye kamati kuu ambaye ni mgombea hivyobasi wajumbe wa KK na wabunge hawana maslahi binasfi na uchaguzi huu.

Nimalize tu kwa kusema kuwashauri Mbowe na wabunge wengine Chadema kugomea uchaguzi mkuu 2020 ni sawa na ''kumnyang'anya tonge mwenye njaa'' ama zako ama zao.

Ukweli huchukiwa lakini lazima usemwe.
 
Well said mkuu 100% true
 
Naam,kila mtu anapambana na tumbo lake.

Rudi shule ukajifunze propaganda, hao wabunge walitoka kwenye bunge la katiba na kulikuwa na hela za kuokota ndio itakuwa hayo usemayo? Uzuri ni kuwa wananchi tumeamua kuwa hatutashiriki ushenzi wowote mpaka uchaguzi uheshimiwe. Kwa hiyo wao nguvu yao ni sisi wapiga kura wao. Ccm wao wanaweza kushiriki maana hawashindi kwa kura za wananchi, bali kupitia madaraka ya rais kwa nafasi yake ya ukuu wa dola.
 
Bunge la Katiba walihudhuria lote wakatoka kipindi cha kupiga kura.Kama posho za vikao wanachukua ndio wanatoka nje sioni wakugoma miaka mitano kamanda.Umeelewa sasa
 
Hujui unaloongea zaidi ya kuleta propaganda mfu hapa jukwaani. Hao walitoka mwanzo mwanzo kabisa wa hilo bunge. Kwa hiyo wakikosa ubunge watakufa? Akina Wenje nk sio wabunge, je wamekufa baada ya kukosa huo ubunge?
 
Rudi shule ukajifunze propaganda, hao wabunge walitoka kwenye bunge la katiba na kulikuwa na hela za kuokota ndio itakuwa hayo usemayo? Uzuri ni kuwa wananchi tumeamua kuwa hatutashiriki ushenzi wowote mpaka uchaguzi uheshimiwe. Kwa hiyo wao nguvu yao ni sisi wapiga kura wao. Ccm wao wanaweza kushiriki maana hawashindi kwa kura za wananchi, bali kupitia madaraka ya rais kwa nafasi yake ya ukuu wa dola.
Tuseme ukweli kwenye suala la maslahi wabunge wooote si wa ccm wala upinzani wote ni selfish sana.... Ni ukweli usiopingika watasusia chaguzi zote lkn si za ubunge. Na ikitokea wamesusia basi jua wamekatwa na hawana jinsi ndo watajifanya kupindua meza.
 
Suala la maslahi ni mtu yoyote iwe mbunge au yoyote, ila sio maslahi ya siasa chafu. Ufahamu hata wao wanategemea sisi tupige kura ndio washinde, sasa kama sisi wapiga kura wao tumepuuza huo uchaguzi mpaka mazingira ya uchaguzi yawe ya kutenda haki, wao hata wakishiriki ni kupoteza tu muda.
 
Na wakati huo watakuwa sio wabunge tena maana bunge litakuwa limeshavunjwa na nafasi mbali mbali ndani ya chama inatakuwa zinagombewa
Ndugu zangu,

Ikitokea mtu awe kiongozi au mwana-CHADEMA akamshauri Mbowe na wabunge wake wagomee uchaguzi mkuu 2020 ajiandae kufukuzwa au watagawana mbao na kukizika chama.

Siasa ni ajira na wengi ni wachumia tumbo sasa itakapotokea eti mtu kwa mfano anamshauri Lema au Mbowe kutogombea ubunge mwaka 2020 ajiandae kuitwa msaliti. Uongozi wa Chadema umeamua kuweka mpira kwapani kwa sababi hakuna mtu kwenye kamati kuu ambaye ni mgombea hivyobasi wajumbe wa KK na wabunge hawana maslahi binasfi na uchaguzi huu.

Nimalize tu kwa kusema kuwashauri Mbowe na wabunge wengine Chadema kugomea uchaguzi mkuu 2020 ni sawa na ''kumnyang'anya tonge mwenye njaa'' ama zako ama zao.

Ukweli huchukiwa lakini lazima usemwe.
 
Kwani katika akili yako ya kijinga,unafikili Mbowe ananjaa kama yako?kama wewe siyo mtoto wa mama/ kula kulala,waulize wazazi wako huko kijijini walipo,debe la mahindi au kilo moja ya unga ni shilingi ngapi kwa sasa?
 
Hujui unaloongea zaidi ya kuleta propaganda mfu hapa jukwaani. Hao walitoka mwanzo mwanzo kabisa wa hilo bunge. Kwa hiyo wakikosa ubunge watakufa? Akina Wenje nk sio wabunge, je wamekufa baada ya kukosa huo ubunge?
Umeshwona Wenge akifafanya siasa hivi karibuni?
 
Tuseme ukweli kwenye suala la maslahi wabunge wooote si wa ccm wala upinzani wote ni selfish sana.... Ni ukweli usiopingika watasusia chaguzi zote lkn si za ubunge. Na ikitokea wamesusia basi jua wamekatwa na hawana jinsi ndo watajifanya kupindua meza.
Safari hii wagome wasigome hakuna atakaye rudi Magufuli ameamuwa asirudi mpinzani
 
Back
Top Bottom