Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 58,945
- 103,299
Sawa! Si ndiyo maana nimekuomba unifafanulie ili nielewe kinachoendelea mkuu ili nisibaki gizani?
Sasa mambo ya kufua nguo za watoto wa Boss wangu yanakujaje? Wewe mimi hunijui, pemgine mimi ndiye huyo boss je? Utajuaje?
Kuwa mstaarabu na jaribu kuleta jibu lenye uhakika.
Ww ni dhalimu fulani usiyejua chochote zaidi ya kuleta vitisho vya kizee. Una uboss gani ww mchumiatumbo? Kaa kushoto maana huna lolote ujualo zaidi ya kunipotezea muda.