Hakuna Mbunge anayezungumzia vitu kupanda bei, tujifunze wapinzani ni muhimu

Tatizo Watanzania hua tunashabikia siasa kama tunavyoshabikia mpira. Bila kujua kwamba tofauti na mpira, siasa inayagusa maisha yetu moja kwa moja! Siku tutakapojua kutofautisha vitu hivyo viwili nadhani tutakua kwenye raiti traki.
 
Watanzania wataelewa maana ya siasa kidogo kidogo twende hivi hivi.
 
Ukweli siku zote hubaki kuwa ukweli hata kama utafichwa kwa mtutu wa bunduki.

Vitu vimepanda Bei sana, sio kwenye vifaa vya ujenzi tu bali hadi kwenye vitu vya matumizi ya majumbani.

Huku kupanda bei kunahusu kila mtu, uwe CCM au uwe chama pinzani.

Wabunge waliopo bungeni hakuna hata mmoja ambae amezungumzia hili suala. Nina uhakika wabunge wa upinzani wengekuwepo wasingekaa kimya.

Hivyo kwa wale watu wa CCM wasidhani kuwa wao peke yao bungeni ni faida bali kuna hasara zake ambazo sasa mnaziona.

Na huh mfumuko wa Hali ya juu uliopo unamchapa kila mtu, na bado.

Utafiti uliwahi kufanywa na ikaonekaa wafuasi wengi wa CCM ni wale wa kipato Cha chini na ambao hawajasoma kabisa.

Hivyo huu mfumuko unawafumua sana, na mtakiri wenyewe kwenye vinyww vyenu kuwa wangekuwepo akina lema, Msigwa, mbowe, Lissu, heche basi wangekumbuka kuwasemea bungeni na kuibana serikali.

Yote kwa yote serikali inapaswa kuliangalia hili suala, kwa maana watu wengi wanaishi chini ya dola moja.
Wabunge wenyewe wako wapi?

2766763_20210422_183858.jpg
 
Na Bado.Mpaka siku mtakapojitambua.Piga hao Hadi maji Waite mma
 
Polepole anawatetea wamachinga kwenye darasa la uongozi
 
Back
Top Bottom