Hakuna maisha perfect, kila jambo hutokea kukupa nafasi ya kupambana.

Maisha yana changamoto nyingi sana ila ni vyema kutumia changamoto hzo kuwa fursa ni kupata mafanikio
 
Hatutawali kila kinachotokea katika maisha yetu. Labda watu huwa tunasahau hili.
 
maisha hayana formula..
vilevile hakuna alijaaliwa kuwa na vyote
 
Back
Top Bottom