Hakuna mabasi ya Mbezi -Mawasiliano ila kuna mabasi yanafanya ruti hiyo, SUMATRA mnajua hii michezo?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,954
22,125
Kuna mabasii wanajiitaa mabasii ya vigogoo bilaa aibuu yanatokambezi yameandika kwenda Kawe

Yanabeba abiria njiani mwishooo mawasiliano

Yanageuka nakurudi NA abiria wa Mbezi..

Ukipigakelele wanakwambia unajuamagari yanani haya traffic wanayaheshimuu hawana adabuu kabisa

Baadhii ya matraffic wanayajua walewapale ubungo wa Sumatra tunaomba mfeatilie hii ni dharau

Wawe na heshima kwa wananchi haijalishi magari ni ya nanii

TT474 ABD-MBEZI MSATA
LIKO MAWASILIANO KUFANYA NINI

GARI T 356 ANV

MBEZI KAWE LIMEGEUKA MAWASILIANO MUDA HUU BADALA YA KWENDA KAWE.. HILI KONDA WAKE ANASEMA KABISA NENDA POPOTE AISEE...
Ahsanteni
 
Mabasii
Wanajitaa
Vigogoo
Mwishooo
Adabuu
Yananii
Kiswahili gani hicho? Hata kuchangia sina hamu.
 
Washughulikiwe haraka wezi hawa kazi kumwongezea mwananchi mzigo kwa nauli za kuunga unga
 
Mabasii
Wanajitaa
Vigogoo
Mwishooo
Adabuu
Yananii
Kiswahili gani hicho? Hata kuchangia sina hamu.
Siookosa lakoo

Mwl aliekufundishaa ueelewii Kaaa kimyaa somawenzioo wanachojibuuu
Usiwemrahisi kilaa post zawanaume ujibu zingineee... Ziniaitajii uelewa zaidi
 
Back
Top Bottom