Hakuna likizo kwa watoto wa shule

the12bdi

JF-Expert Member
Oct 12, 2018
492
1,000
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa ongezeko la siku za masomo kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari, likizo nazo wanaendelea kusoma. Najiuliza hivi hizi likizo hazina maana tena? Au vichwa vya kileo vinataka mtindo huu ili viwe na ufanisi?
 

kimbendengu

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
4,703
2,000
CCM wameua Elimu ,kuanzia chekechea tuition,msingi tuition,sekondari tuition,Advance tuition,Chuo tuition by Tundu Lissu
 

kimbendengu

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
4,703
2,000
Wanatakiwa wafaulu iwe isiwe ndiyo maana...baada ya ccm kuona mwakani yaani 2021 kutakuwa na kuandika kubwa la wanafunzi wa kuingia kidato cha kwanza na hawana maandalizi yoyote zaidi ya kupanda ndege na kuzurura sasa wamekuja na mikakati ya kishetani ,miaka mingi wamekuwa wakiwafanyia walimu mambo ya kishenzi kwa kuwaambia kuwa kila mwalimu mkuu lazima afaulishe kwa mbinu yoyote bila hiyana walimu wamekuwawakifanya uhalifu wa kuwafanyia wanafunzi mitihani huku wanasiasa wakifurahi kwenye mikoa yao kwamba kata yangu imefaulisha kwa kiwango kikubwa huku wengine wakijinadi kuchukua nafasi ya kwanza Tanzania ili hali wameiba mitihani kwa kuwafurahisha wananchi wajinga wasioelewa Elimu ya nchi yao ilipofikia'sasa wiki iliyopita chanzo changu cha kuaminika kinasema kuwa baada ya kuona mwaka 2015 wanafunzi walioandikishwa ni wengi kwa sifa zile zile za chama chakavu na mitihani inafanyika mwezi September huku wakijua kuwa walimu wao wanakwenda kufaulisha kwa sifa zile zile ,wanaojiita usalama wa nchi wamewaondoa katika semina hizo walimu wote wa shule za msingi na kuwapeleka walimu wa private ili was ifanye udanganyifu kwa kuiba mitihani wazo langu nawashauri ccm jengeni madarasa ya haraka kutumia hizo tozooo za kikatili maana kwa hali hii mwakani kuna utitiri wa wanafunzi kukaa nyumbani
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom