Hakuna laana kubwa kama kuichagua CCM

Kweli kabisa!! Kila mtu anayeipenda CCM, ndani yake hana Mungu!!!!! Huwezi ukawa na Mungu, halafu ukaipenda CCM !!!!
 
mimi nadaiwa sababu ya safari za anasa za jk kupiga picha na akina fifty cent na beckham,presidential suites kila siku!
 
Kweli kabisa!! Kila mtu anayeipenda CCM, ndani yake hana Mungu!!!!! Huwezi ukawa na Mungu, halafu ukaipenda CCM !!!!
Then Watanzania wengi zaidi ndio tutakuwa ni washetani!, kama walio washetani ndio wengi zaidi na kila siku wanairudisha CCM madarakani, then mwenye nguvu zaidi atakuwa ndio ?!.
Pasco
 
mi siyo mwanasiasa na wala siyo mtabiri ila 2napoelekea nadhani ipo cku uvumilivu utatushnda, 2taweza hata kwnda mstuni kuikomboa inchi yetu
 
Mkuu ccm itaendelea kushinda... Maana upinzani hasa cdm hawaoneshi juhudi zozote kwenye swala la kutengeneza wapiga kura na maswala ya kura kwa ujumla...
 
Mkuu ccm itaendelea kushinda... Maana upinzani hasa cdm hawaoneshi juhudi zozote kwenye swala la kutengeneza wapiga kura na maswala ya kura kwa ujumla...

hivi juhudi zote hizi wanazozifanya makamanda huzioni ? Au unataka cdm nayo ianze kununua wananchi ?
 
Then Watanzania wengi zaidi ndio tutakuwa ni washetani!, kama walio washetani ndio wengi zaidi na kila siku wanairudisha CCM madarakani, then mwenye nguvu zaidi atakuwa ndio ?!.
Pasco
Sio wananchi wanaowaingiza madarakani bari wanaiba kura na wanachakachua maoni ya watu.mfano wa jaji warioba ni maoni ya wananchi sio yako.funguka kwa manufaa ya underground kids.
 
Watanzania tumelaaniwa, na
aliyetulaani amekufa!, hivyo tutaendlea kuchagua laana!, na 2015,
tutaichagua tena!.
Pasco

Mjomba usikate tamaa, inahitajika elimu ya uraia ili watz watofautishe laana na baraka. Watz hawajalaaniwa ila ccm ndiyo imelaaniwa.
 
Hakika watawala wa leo wa hiki chama cha mipduzi wamelaaniwa na wafuasi wao wote.
-tumefika mahala tunaona rushwa kama ni sehemu ya kawaida ya maisha yetu hasira zimetujaa moyoni hatuoni ni nani wa kutusaidia.
-chadema simamia misingi ya haki na umoja kwaajili ya wanyonge wa nchi hii.
Ni mimi.
 
Escrow ni moja ya scandel inayopiganiwa kuzimwa na watawala kwa nguvu na akili zao zote.
-aisee inauma sana na inakera pia,chadema simama imara soon utakabidhiwa nchi hii iliyo megwa kila mahala:
Mara ooh! Huu ni mgodi wa ritz1,ooh!mara geta ni vichi kamato,ooh!buzwagi ni ya mkuu wa kaya!
-ndio maana vijana kina zitto wamejikatia tamaa na kuamua kuwa mafisadi tu.
-lakini sinto kata tamaa hadi siku ya ukombozi itimie.
Ni mimi.
 
hivi juhudi zote hizi wanazozifanya makamanda huzioni ? Au unataka cdm nayo ianze kununua wananchi ?
Hakuna juhudi kwenye maswala yanayohusiana na kura na upigaji kura kwa ujumla..mimi naongea maana nimeshiriki kidogo kwenye cdm ni msingi..kuna juhudi za kupata wanachama nk..lkn hakuna juhudi ya kutathimini na kuhangaika kutengeneza mikakati ya mambo ya kura kwa ujumla..hata kitaifa sioni cdm ikiangaikia swala la kura...mfano chalinze chadema haikuwa na wapigakura..nini kinafanyika chalinze baada ya uchaguzi mdogo kufanya tathimini na kujua wapiga kura watapatikana wapi..sijui labda wewe unajua...mm naipenda cdm sana ila sina uhakika kama itashinda..maana naona ina wafiasi na wakereketwa wanaoikubali ila sidhani kama inawapiga kura
 
Then Watanzania wengi zaidi ndio tutakuwa ni washetani!, kama walio washetani ndio wengi zaidi na kila siku wanairudisha CCM madarakani, then mwenye nguvu zaidi atakuwa ndio ?!.
Pasco
Kuna vifo vya utata tangu enzi za mwalimu hadi enzi hizi... wtanzania kwa ujinga wao wanaendelea kuwashiriki mauaji hayo kwa kuwarudisha madarakani watawala hao ingawa wanajua fika kuwa mikono yao imejaa damu. Kitendo hicho ni sawa na kusema 'damu za hao waliouwawa ziwe juu yetu na juu ya watoto wetu'.... madhara ya hizo damu zisizo na hatia kila mmoja kwa nafasi yake anayaonja.
 
Yaan najickia kichefuchefu nikimuona mlala hoi anavaa nguo za hawa jamaa .najickia hata hasira kwa njinsi hawa mafisadi wa ccm wavyoifiris nchi kila corner wezi wa mabilion bila kuchukuliwa hatua zozote na wezi wa rasilimali ya watanzania .PLZ WATANZANI TUAMKE ,TUIKOMBOE NCHI YETU ,TUWAONDOE HAWA MAFISADI NA WALAFI WA HALI YA JUU .CHAMA CHA MAFISADI .TUUNGANE MWAKANI PLZZ
 
Jambo ambalo sielewi mpala leo, wale watanzania wenye maisha duni kupindukia ndiyo hauwaambii chochote kuhusu hiki chama cha kifisadi. hivi haya mambo ya aibu ya wizi wa kishenzi unaofanyika...ohooo... nashukuru Mungu toka nizaliwe sijawahi kuweka tick mbele ya neno CCM na sita fanya hivyo mpaka mwisho wa maisha yangu. Mungu aniepushe na hii laana
 
Back
Top Bottom