Hakuna kurudi nyuma........ wale wote wenye shahada za kupigia kura tuchague CHADEMA

Magezi

JF-Expert Member
Oct 26, 2008
3,359
692
Wito wangu kwa vijana na wananchi wote kwa ujumla ni kwamba tujitahidi tuhakikishe tunapiga kura hapo october 31.
 
wito wangu kwa vijana na wananchi wote kwa ujumla ni kwamba tujitahidi tuhakikishe tunapiga kura hapo october 31.

ukiichunguza chadema kwa kina utagundua kwamba ni chama ambacho kina chembechembe za kifamilia na ukabila.slaa anatumika tu na watu wenye chama hicho.sikiamini chama hicho cha chadema
 
Back
Top Bottom