Hakuna kura zinazoharibika bali hutupwa Kwa masirahi binafsi wagombea kaaeni chonjo

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,252
21,345
KURA ni utaratibu maalum wa kumpata anaestahili Kutokana na idadi ya waliomchagua! Huwa nashangaa kusikia kuna kura idadi kubwa zinatajwa kuwa zimeharibika. Mi nazani kuriko kuhesabu kwamba zimeharibika ziwe zinahesabiwa zote Kwa utaratibu huu.
Mfano kuna wagombea (A,B,C,D)
1. Mpiga kura anaweza tia tick Kwa mgombea (A), hapo itahesabika kapigiwa kura ya ndiyo mgombea (A)
2. Mpiga kura anaweza tia tick Kwa mgombea (A,B na C) HAPO ISITAJWE KWAMBA IMEHARIBIKA bali mpiga kura huonesha anawakubali wote, kwahiyo ni vyema kugawana point yaan (1/3) Kwa kila mmoja apatiwa kura ya ndiyo.
3. Mpiga kura anaweza weka alama ya (X) Kwa woote, hapo ni sawa kuwakataa wote, hapo mpiga kura anakuwa hajaridhishwa na yeyote!
4. Mpiga kura anaweza kuweka tick Kwa mgombea mmoja, pia siyo kosa akionesha kuchukizwa Kwa kumuwekea alama ya (X) asiye mpenda, hapo itazamwe yenye tick ndiyo chaguo lake.
HAKUNA KURA INAYOHARIBIKA BALI NI UVIVU UNAOFANYWA ILI KUINGIZA MAZINGILA TATA YA USHINDI
Screenshot_20171106-123920.png
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom