Elections 2010 Hakuna kura zilizo chakachuliwa

silver25

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
743
44
KAMA KURA ZIMECHAKACHULIWA MBONA KWENYE MAJIMBO AMBAYO WANANCHI WAKE WANAUCHU WA MAENDELEO WAMEING'OA CCM?

mimi nasema sidanganyiiikiiii
 
Mkuu this time tume imejitahidi sana kufanya kazi zao za msingi kwa kufuata taratibu na sheria za msingi kabisa
tatizo ni namna ya kutoa matokeo kwa utaratibu wa kompyuta ndio ulioleta ucheleweshaji usio na lazima
in general
hakukuwa na uchakachuaji wowote, hao wote wanao lalama hawana ushahidi wowote strong zaidi ya hisia tu
 
masikini we! inaelekea wewe bado hujajua mambo yanavyoendeshwa nchi hii; akika amini wizi wa kura upo.
 
mkuu this time tume imejitahidi sana kufanya kazi zao za msingi kwa kufuata taratibu na sheria za msingi kabisa
tatizo ni namna ya kutoa matokeo kwa utaratibu wa kompyuta ndio ulioleta ucheleweshaji usio na lazima
in general
hakukuwa na uchakachuaji wowote, hao wote wanao lalama hawana ushahidi wowote strong zaidi ya hisia tu

sasa jk alienda mwanza kutafuta nini?
 
Kumbe ni silver25
user-online.png
 
kwenye mikoa yenye maendeleo wa2 ni wasomi, na wasingekubal dhulma hiyo. hivyo walisimama kidete kulinda haki yao, ndio mana walishndwa kuchakachua. km huwez kuelewa ndo tunakuonesha picha hivyo.
 
kwenye mikoa yenye maendeleo wa2 ni wasomi, na wasingekubal dhulma hiyo. hivyo walisimama kidete kulinda haki yao, ndio mana walishndwa kuchakachua. km huwez kuelewa ndo tunakuonesha picha hivyo.

Managing expectation is quite a challenge.
 
kwenye mikoa yenye maendeleo wa2 ni wasomi, na wasingekubal dhulma hiyo. hivyo walisimama kidete kulinda haki yao, ndio mana walishndwa kuchakachua. km huwez kuelewa ndo tunakuonesha picha hivyo.

Sio walishindwa kuchakachua, Wameyachakachua sana lakini imeshindikana kwa sababu idadi ya kura iliyohitaji kuchakachuliwa ni kubwa mno hadi ikawashinda
 
kwenye mikoa yenye maendeleo wa2 ni wasomi, na wasingekubal dhulma hiyo. hivyo walisimama kidete kulinda haki yao, ndio mana walishndwa kuchakachua. km huwez kuelewa ndo tunakuonesha picha hivyo.

Maendeleo hayo yamepatikana ndani ya serikali ya CCM na mnaiona haina maana, hii inaonyesha uchu wa madaraka waliyonayo wasomi hao, baada ya kusoma hawana cha kufanya zaidi ya kukimbilia uongozi, na ni wachovu wa kufikiri,. kwakuona hawawezi kupata madaraka ndani ya CCm hivyo wamejitoa kuanzisha vijichama ili wapate japo udiwani!! maendeleo yameletwa na CCM sasa mnataka mfanye nini wakati tayari CCM imewaletea maendeleo! kama mnavyojiita mikoa yenye maendeleo, hakuna kitu uchu wa madaraka tu ila mjue si rahisi kila mmoja kuwa kiongozi....
 
Back
Top Bottom