Hakuna kufanya mpaka ndoa

msani

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
1,801
1,191
Demu wangu mpya hatakaki tufanye mapenzi eti hadi tufunge,ndoa,nikamuuliza kama ni bikira,aksema ni mipango ya Mungu
dah hapa sijielewi,au ndivyo illivyo?
 
Demu wangu mpya hatakaki tufanye mapenzi eti hadi tufunge,ndoa,nikamuuliza kama ni bikira,aksema ni mipango ya Mungu
dah hapa sijielewi,au ndivyo illivyo?

Mwambie hauko tayari kuuziwa mbuzi kwenye gunia. Kuonja muhimu!
 
Demu wangu mpya hatakaki tufanye mapenzi eti hadi tufunge,ndoa,nikamuuliza kama ni bikira,aksema ni mipango ya Mungu
dah hapa sijielewi,au ndivyo illivyo?

Huyu mpya umeanza nae lini? Watu huwa hawaombi kufanya mapenzi,huwa inatokea tu.
We unachemka kukimbilia kuomba mechi
 
<font size="3"><span style="font-family: franklin gothic medium">Huyu mpya umeanza nae lini? Watu huwa hawaombi kufanya mapenzi,huwa inatokea tu.
We unachemka kukimbilia kuomba mechi

ndio ndio dr love kudos kwa ushauri mzuri na rahisi kueleweka..
 
Duh, unaukame sana nn, manake inaonyesha tangia uachane na yule wa zaman hujaiona tena, ss unataka kumalizia hasira zako. Kk uwe na subira akina dada siku za mwanzo huwa wagum kutoa mech, ila ukionyesha km upo siriaz atakuletea mwenyewe, we jifanye km unaipotezea! Alaf uone.
 
Kaka kumbuka unaweza subiri mpaka utakapo Oa then ukisha OA unakuta masine mbovu kinyama then unashindwa kumuacha unabaki kulia na kuhudhunika...Kumbuka wengi wao mashine zao zimechoka kwani akikupa utamkimbia nakuambia kuwa makini sana tena kupita kiasi kuna kitu anaficha huyo na hataki wewe ukifahamu.
 
hakuna mwanzo usiokuwa na mwisho.ipo siku atakuletea ule mwenyewe.uwe na subira kaka
 
Ni dini gani hapa duniani inaruhusu kufanya mapenzi kabla ya ndoa?na je huyo ni mke wako?big up sana kwa huyo dada sio vizuri kuendekeza wangapi watatest?muoe kama unataka,na kama wewe mwenyewe umeshaonja onja kwingine kabla yake bikira unaitafutia nini,
 
Hilo game la kunyimwa uloda ni kali katika maadili ya kidini hairuhusiwi kushirikiana kimwili hadi mfunge ndoa lakini kwa wale wasio zama katika imani kukosa uloda kwao ni shida kubwa nashauri mkapime ili kubaini kama kila mtu yuko salama kwa lengo lakulindana ni vema huyo dada akalegeza kamba ikiwa anakupenda kweli na uchukue hatua ya kwenda kwa wazazi wake kujitambulisha nb watu wengi hukimbilia kujificha makanisani wakiwa wamechakachuliwa vya kutosha nakujitahidi kuonyesha msimamo iliwaigundulike kuwa walikuwa viluka njia so take care
 
Mapenzi kabla ya ndoa si mazuri, yatapunguza thamani ya ndoa. Nakumbuka mke wangu sikufanya naye mambo hadi baada ya kuoana, siku ya harusi nilikuwa namuwazia sana. Pia inakujenga heshima juu yake. Msikilize huyo msichana, heshimu mawazo yake. Unataka mke bikira wakati wewe si bikira!!..
 
huyo dada inaonyesha ameshachoka kufunuliwa.kwani alivyoulizwa yeye ni bikira jibu lake linaelezea tosha kuwa bikira haipo.ila anapenda,awe na mtu ambae hatomchezea na kummwaga.bora uamue mwenyewe,au vuta subira,mambo mengine hayataki haraka.you never know anaweza akawa mke wako.siku hizi bikira sio issue,muhimu maelewano,kuheshimiana,kupendana,kuwa na tabia njema na kuaminiana{wote msiwe viruka njia}
 
Ana bikira Original au za Kichina? j

Japo naungana na wote wanashauri usubiri ndoa kama kweli unataka kuoa maana asilimia kubwa ya wanaofunuana kabla ya ndoa wakiwa katika ndoa wanaendelea kufunua nje
 
Back
Top Bottom