‘Hakuna kufanya mapenzi mpaka ndoa!’ Wanawake wengi wanabugi kwa sharti hili

Anamtesa tu mkaka wa watu!!!
Ila ukipata mkaka mlokole haswa... wala huna haja ya kumwambia hivyo... Hakugusi ata kukubusu aisee, busu la kwanza linakua kwenye madhabahu baada ya mchungaji kusema you may kiss the bride
na hao wa hivi nashia kuwaona kwenye movie za nigeria
 
Umeleta uzi fulani sensitive mkuu, me ni muhanga wa relation ya namna hiyo mwanzoni nilikuwa okay kuendana nayo coz niliamini akishazama 18 zng hatoki, kinachoniumiza nimepoteza miezi 6 now kila akiingia 18 anatoka kwa sbb huwa najikuta namuonea huruma hususani anavyojiliza kwamba hajawahi kufanya.
Kutokana na hali hiyo nmejikuta nahamisha kambi kimya kimya huku nikiwa namvizia aingie 18 nimpe option ngumu. Jibu atakalochagua ndo litakalodetermine future ya hii relation ambayo inaendaenda tu.
.hahaha pole sana mkuu mimi nayajua haya mambo aisee ndomana nasema huwa yanawacost bila wao kujua
 
Hahahaha huo ni useng* asee, maana mimi mwanamke akinambia yeye Bikra lazma nimle kama nidhamuahidi nitamuoa sasa anakuwa na wasiwasi gani akikataa ina maana haniamini na namuacha hapohapo






Sitaki ujinga mm
mie akikataa huwa namwacha siwezi kuowa mwanamke kwa sababu ya bikra alafu isipokuwepo wengi ni matapeli aiseee watu walishachovya sana
 
Back
Top Bottom