hakuna kitu kinauma kama kuona mtu umpendae,anampenda mtu mwingine.

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
jamani,me mwenzenu nina hii hali huu ni mwaka wa 10 sasa,kuna dada nampenda sana but suprisingly yeye anampenda mtu mwingine.nisaidieni mawazo mwenzenu niondokane na hii hali wakuu.
 
jamani,me mwenzenu nina hii hali huu ni mwaka wa 10 sasa,kuna dada nampenda sana but suprisingly yeye anampenda mtu mwingine.nisaidieni mawazo mwenzenu niondokane na hii hali wakuu.
kulikuwa na haja gani ya kuweka hayo maneno kwenye red?
 
jamani,me mwenzenu nina hii hali huu ni mwaka wa 10 sasa,kuna dada nampenda sana but suprisingly yeye anampenda mtu mwingine.nisaidieni mawazo mwenzenu niondokane na hii hali wakuu.

You dont have to suprise_hayo ni matokeo ya ujinga wako wa kumpenda mtu asiye kupenda tena kwa muda wa miaka KUMI(10),...

Msaada:Achana na tabia ya kupenda kwa dhati_wanaume wa kweli hawako hivyo..unatamani then unamwacha yeye ndio akupende kwa dhati....na huu ndio ukweli ingawa ni mgumu sana kumeza.
 
pole sana. Huyo si wako. Penda mwingine. Wala hakuna kesi hapo. Ingawa inauma saaaaaaana.
 
miaka kumi unampenda mtu ambaye hakupendi? kwa nini umekubali kukaa kwenye miaka kumi ya maumivu? huyo mwanamke ni malaika?
 
duh pole una moyo, miaka 10, ushasema anampenda mwengine, achana nae, ni bora unajua hakupendi ww anampenda mtu mwingine, kuendelea kumpenda yy ni kujiumiza na kujinyima nafac ya kuwa na mtu mwingine, naamin yupo wako, so kubali huyo si wako then look foward......pole sana
 
Kumpenda mwanamke asiyekupenda ni sawa na kusubiri meli airport
 
She did'nt mean to be,songa mbele na maisha yako kijana.
 
Back
Top Bottom