hakuna kitu kinaitwa ugonjwa wa nguvu zakiume | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hakuna kitu kinaitwa ugonjwa wa nguvu zakiume

Discussion in 'JF Doctor' started by jane_000, Feb 20, 2012.

 1. j

  jane_000 JF-Expert Member

  #1
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 547
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nyinyi ma baba zangu na makaka zangu hakuna mgonjwa dunian anaeumwa maradhi ya nguvu za kiume now niukosefu wa connection kati yenu wawili mzee anaweza kwenda rounds 5 nakuendela na kijana hata rounds 10 lakini love must be there lasihivyo kama huna upendo na huyo mwezako basi hata nusu round ufiki hakuna dr wala masai na wala dawa yoyote trust me nenda kwamtu wako leo jipange vizuri na omba mzigo kama hutu cheza mpira mpaka kipindi chamwisho hata babu waumri miaka 90 kama wanapenda basi babu atacheza mpira vizuri wacheni mambo ya dawa nyote wapenzi wangu mananguvu Tatizo lenu hamna mapenzi ya kweli
  Nawasilisha  rounds
   
 2. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #2
  Feb 20, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,312
  Likes Received: 1,783
  Trophy Points: 280
  Una uhakika na unachokinena?
   
 3. m

  mchambakwao Member

  #3
  Feb 20, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Alishajifanyia utafiti na awapendao.
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  Feb 20, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  duu jane000 hilo gonjwa sijui neno nhalichoka kila siku khaaa kazi tunayo..
   
 5. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #5
  Feb 20, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Kaazi kwelikweli.
   
 6. j

  jane_000 JF-Expert Member

  #6
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 547
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndio mpenzi jaribu na mkeo
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Feb 20, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,151
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Kwahyo jamaa yako hakupendi ndio maana hakufikishi?
   
 8. m

  mzee wandimu JF-Expert Member

  #8
  Feb 20, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 441
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  mara nyingi jane-000;huwa unakurupuka tu! uandishi wako sijui ukoje?
  uweunajipanga basi!
   
 9. j

  jane_000 JF-Expert Member

  #9
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 547
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ndio mpenzi
   
 10. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #10
  Feb 20, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Sema ndio mkuu, afu umeulizwa jamaako hakupendi ndiomaana hakufikishi?
   
 11. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #11
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,599
  Trophy Points: 280
  Wanawake wanavyosababisha upungufu wa nguvu za kiume
  Kesi ya wanaume kupungukiwa nguvu za kiume zimezidi kushika kasi, kiasi cha kufanya dawa ya kuongeza nguvu hizo kuwa maarufu na yenye mahitaji makubwa katika jamii.

  Waganga wa kienyeji wamekuwa wakitumia dawa hiyo kama tiba ya msingi ya kuwavutia wateja kwenye biashara zao. Hii inaonesha kuwa tatizo hili ni kubwa miongoni mwa wanaume wengi.

  Hata hivyo, utafiti unaonesha kuwa wengi kati ya wanaume waliowahi kutumia dawa za asili na zile za hospitali kuondokana na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume hawakufanikiwa kupata tiba ya kudumu, matokeo yake wamegeuzwa watumwa wa kila wanapotaka kushiriki tendo lazima wabwie ‘kolezo' la kuwasaidia kuamsha hisia zao.

  Kwa wanaume ukosefu wa nguvu ni jambo linalouma na kuondoa kabisa ujasiri. Wengi kati yao wako tayari kutumia pesa na uwezo wao wote kuhakikisha kuwa heshima ya tendo la ndoa wanaimiliki daima.

  Lakini, watafiti wa masuala ya mapenzi nikiwemo mimi, tumegundua kuwa wengi kati ya hao wanaolalamika kupungukiwa nguvu, hawafahamu chanzo cha matatizo na namna wanavyoweza kuepukana na kasoro hiyo.

  Ushahidi uliopatikana kwa waathirika wa tatizo hili, unaonesha kuwa wanaume wanapokabili upungufu wa nguvu za kiume huishia kujuta na kujilaumu wenyewe bila kutazama upande wa pili wa washirika wao, namaanisha wanawake.

  Zipo kesi za wanaume kujiua au kujinyofoa sehemu za siri kwa sababu ya kushindwa katika tendo. Hali hii inatoa picha kwamba mzigo wa lawama hujitwika wenyewe.

  Dokta Bianca P. Acevedo kutoka Chuo Kikuu cha California, Santa Barbara anasema, wanawake huchangia kwa kiasi kikubwa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume, jambo ambalo nami nalithibitisha kwa ushahidi wa kitaalamu ufuatao:

  1: KAULI
  Miongoni mwa mambo ambayo mwanaume hataki kuyasikia yakitoka kwenye kinywa cha mwanamke ni kuambiwa
  HAWEZI TENDO LA NDOA. Mwanamke akimwambia mwanaume wakati au baada ya tendo kuwa hawezi, atakuwa amemsababishia tatizo kubwa la kisaikolojia ambalo litamfanya aanze kupoteza nguvu za kiume taratibu.

  Msaada unaohitajika kwa mwanamke anayekutana na mwanaume dhaifu kwenye tendo si kumwabia hawezi, bali ni kumtia moyo na kumsaidia kuweza. Wanawake wamewasababishia waume zao upungufu kwa kuwaambia maneno kama haya: "Yaani siku hizi sijui umekuwaje, yaani huwezi kazi kabisa!"

  2 : UJUZI
  Wanawake wengi hasa waliopo kwenye ndoa, wanapuuza ujuzi kwenye tendo la ndoa. Hawajishughulishi kumsaidia mwanaume ‘kuwika', si wabunifu na watundu, jambo hili humfanya mwanaume husika kushiriki tendo kwa kutegemea kupanda kwa hisia zake mwenyewe, hivyo anapokuwa amechoka au ana mawazo, hawezi kusisimka kwa vile hapati ushirikiano toka kwa mwenzake.
  Mada hii itaendelea toleo lijalo.

  Wiki hii nitakuwa nikitoa ushauri kwa wanaume wenye upungufu wa nguvu za kiume. Muda wa kuwashauri kwa njia ya simu ni saa 4 usiku. Na wale wa ana kwa ana ni Jumapili saa 5 asubuhi.

   
 12. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #12
  Feb 21, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,312
  Likes Received: 1,783
  Trophy Points: 280
  Huyu mtafiti mpya ana mambo sio mchezo
   
 13. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #13
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Naungana na mleta maada kuwa huo ugonjwa haupo ila watu wanassume as a result badala ya kutatua tatizo wanaongeza tatizo!
  Uyo mtafiti kuhusu wanawake kutojishughulisha lina ukweli ndani yake.
  Ivi unaanzaje kumwonea haya mumeo jamani eti hoo ataniona muhuni ila mmeo akishughulika ni muhuni.
  Active participation ya partners ni muhimu!
   
 14. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #14
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hongera kwa kampeni zako za kuwa JF Premium Member
   
Loading...