Hakuna kitu kibaya Kama umaskini

Mawazo ya kiafrica hahahah,kwa mtazamo wako hiki ndo chanzo Cha umasikini

So ukipika ugali ule kidogo mwingine ubakishe hahahahah .....ok Ahsante kwa kuja
Umaskini wa waafrika wengi unatokana na kutokuweka akiba tunatumia chote tunachozalisha utafikiri hakuna kesho na hii inatokana na malezi tangu utotoni. Tunatakiwa tuwafundishe watoto wetu tangu mwanzo kuweka akiba, kwa mfano mtoto unamletea biscuit nyingi mfudishe ale kidogo zingine atunze ukiona mtoto anakula zote ujue ataendelea na hiyo tabia hadi ukubwani atakuwa anatumia mshahara wote bila kuweka akiba.[/Quoteduuuuuu
 
Matajiri wengi wanaheshimu pesa kuliko chochote. Pesa kwao ndo kila kitu wanatengeneza pesa nyingi sana na kuitumia kidogo sana. Pesa yake ikitoka anaumia sana kuliko chochote. Mungu nisaidie 2019 niiheshimu pesa kuliko kitu chochote maishani mwangu niitafute kwa nguvu zote na niiogope kuitumia kabisa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hahahaha Yani Kuna vitu serious navipitia kwenye familia halafu mm ndo mkubwa nashindwa kuvisolve

Nimepoteza ndgu na jamaa wa familia sababu tu ya umaskini ya kukosa pesa ya kugharamia matibabu...nauchukia umaskini natafuta usiku na mchana lakini mambo ni magumu

Hawa matajiri wamefanyaje?
Mkuu, tuliza presha kidogo. Tafuta pesa, ila mtangulize Mungu. Si kila mwenye pesa, ana furaha moyoni. Matajiri wengine wakikusimulia, hutatamani utajiri wao. Tafuta pesa ya halali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha Yani Kuna vitu serious navipitia kwenye familia halafu mm ndo mkubwa nashindwa kuvisolve

Nimepoteza ndgu na jamaa wa familia sababu tu ya umaskini ya kukosa pesa ya kugharamia matibabu...nauchukia umaskini natafuta usiku na mchana lakini mambo ni magumu

Hawa matajiri wamefanyaje?
Aisee
 
Cycle of poverty
Ukiwa masikini, hata mbwa wako anaweza kukuuma!

Kuna rafiki yangu ni tajiri, nilimuuliza siri ya mafanikio yake baada ya kufungua hotel yake mpya ya kisasa ya ghorofa kadhaa.
Huku akitabasam, akaniambia ni mambo matatu; Bidii kwa unachokifanya, Muombe Mungu, na Bahati.


Sent using Jamii Forums mobile app
Ata me ungeniuliza ningekujibu hivi though.
Mzee ukiwa mpenda haki sana akia nani hutoboi kwenye hii dunia ya kibepari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kanuni ya utajiri ni simple sana

  1. Kufanya kazi kwa bidii {kwa bidii haswa bila kujali challenges}
  2. Kutumia kidogo sana katika kile unachozalisha
  3. Kuwekeza zaidi kile unachozalisha mahali zaidi ya moja

Hakuna zaidi.
My biggest mistake me ndo hii hapa na spend sana kuliko nachoingiza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za mwaka mpya Wana JF,

mwaka ndo umeanza tutafte pesa kwa namna yeyote ile, Tuache uoga athari za umaskini ( dhiki) ni chungu mithiri ya Moto wa jehenamu.
Ndio umejua leo CuteJancs kuwa umasikini moto wa Duniani, ukiwa masikini utadharaulika na kila Rika. tupige Kazi tujikwamue.

Samsung Galaxy S 6+
 
Hahahaha Yani Kuna vitu serious navipitia kwenye familia halafu mm ndo mkubwa nashindwa kuvisolve

Nimepoteza ndgu na jamaa wa familia sababu tu ya umaskini ya kukosa pesa ya kugharamia matibabu...nauchukia umaskini natafuta usiku na mchana lakini mambo ni magumu

Hawa matajiri wamefanyaje?
Hahah Chalii kwa uongo uko vzr sana aisee.

We si kuna thread humu jf umesema uko njema sana,kila mwaka unabadili magari,kwenda Norway holiday ni kawaida tu kwako.

Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu boss.
 
Kuna kitu unashikilia kwa kichwa chako kwamba hakuna namna ingine na hali hiyo itakupa taabu sana kama utaendelea kushikilia msimamo huo

Yani umejiweka eti kuna siri kwa matajiri, siri gani iliyopo common isijulikane na wewe usiijue hadi saivi, wacha kujitune hvyo ndugu

Ngoja nikueleze kitu kimoja, baadhi ya wachangiaji waliokwambia mambo ya kusoma vitabu, kutokata tamaa, kujaribu kila shughuli nk umewajibu kua imeshindikana, lakini sijaona ulipojibu kwamba umemwomba Mungu wako kwa imani thabiti ikashindikana,,,sijui umenielewa hapo!!

Hebu mjaribu Mungu uone, fata taratibu zote halafu nenda mbele za Mungu umwambie kitu, mimi si mchungaji wala sheikh ila naamini kuna upande wa shetani na kuna upande wa Mungu na unaweza kukaa upande wa Mungu lakin hebu sogea zaidi usipuuze hili japo hata mimi mwenywe ni mvivu kweli kumwomba Mungu but jitahidi

Niishie hapa nisikuchoshe, Hivi ingekua Mungu hasaidii hawa wachangiaji hapa wangeshauri kusali kwa nguvu zote?
Soma hapa mkuu nahisi hata imani yako itakua zaidi
Sticky First Post Nimekutana na mwanamke wa ajabu, naanza kuingiwa na hofu walimwengu nisaidieni
 
Back
Top Bottom