Chief Wingia
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 2,451
- 4,368
SAWA GIRITA SINKAUkiwa tajiri wa fikra huku mfukoni huna kitu unaonekana "Pumbu" tu.
Sent from my iPhone using JamiiForums
SAWA GIRITA SINKAUkiwa tajiri wa fikra huku mfukoni huna kitu unaonekana "Pumbu" tu.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Umaskini wa waafrika wengi unatokana na kutokuweka akiba tunatumia chote tunachozalisha utafikiri hakuna kesho na hii inatokana na malezi tangu utotoni. Tunatakiwa tuwafundishe watoto wetu tangu mwanzo kuweka akiba, kwa mfano mtoto unamletea biscuit nyingi mfudishe ale kidogo zingine atunze ukiona mtoto anakula zote ujue ataendelea na hiyo tabia hadi ukubwani atakuwa anatumia mshahara wote bila kuweka akiba.[/Quoteduuuuuu
kama utanipa masaa kumi ya kukata mti kwa shoka nitatumia masaa ma5 hadi 8 kunoa shoka na masaa yalio baki nitatumia kukata mtiNdgu unadhani watu hawana hizo effort
MHUBIRI. 9:11
Nikarudi, na kuona chini ya jua, ya kwamba
si wenye mbio washindao katika michezo,
wala si walio hodari washindao vitani, wala
si wenye hekima wapatao chakula, wala si
watu wa ufahamu wapatao mali, wala wenye
ustadi wapatao upendeleo; lakini wakati na
bahati huwapata wote.
Hii ni kweli (struggle na good lucky) vinahitajika sana ktk maisha ya mwanadamuNiliwahi kumsikiliza Mfuruki kwenye mahojiano CLouds TV..alisema hata ukiwa na sifa zote bahati inahitajika pia...mpaka Leo natafakari....
yap, that's rightHahahahaa
is it because of X.
Mkuu, tuliza presha kidogo. Tafuta pesa, ila mtangulize Mungu. Si kila mwenye pesa, ana furaha moyoni. Matajiri wengine wakikusimulia, hutatamani utajiri wao. Tafuta pesa ya halali.Hahahaha Yani Kuna vitu serious navipitia kwenye familia halafu mm ndo mkubwa nashindwa kuvisolve
Nimepoteza ndgu na jamaa wa familia sababu tu ya umaskini ya kukosa pesa ya kugharamia matibabu...nauchukia umaskini natafuta usiku na mchana lakini mambo ni magumu
Hawa matajiri wamefanyaje?
AiseeHahahaha Yani Kuna vitu serious navipitia kwenye familia halafu mm ndo mkubwa nashindwa kuvisolve
Nimepoteza ndgu na jamaa wa familia sababu tu ya umaskini ya kukosa pesa ya kugharamia matibabu...nauchukia umaskini natafuta usiku na mchana lakini mambo ni magumu
Hawa matajiri wamefanyaje?
We si nilikwambia uje huku nilipo ukakataaRoho ngumu ipi hiyo mkuu, maana Mimi mavyeti yangu sioni hata faida yake
Matajiri wengi wamefika hapo walipo sasa huku nyuma kuna mengi tusiyojua. alilopoka mlevi mmoja ili kuwa tajiri ni lazima ukanyage kanyage baadhi ya watu ukifika juu uwanyanyueH
Hao matajiri wana Siri ambayo hawawezi kukuambia kamwe
Ata me ungeniuliza ningekujibu hivi though.Cycle of poverty
Ukiwa masikini, hata mbwa wako anaweza kukuuma!
Kuna rafiki yangu ni tajiri, nilimuuliza siri ya mafanikio yake baada ya kufungua hotel yake mpya ya kisasa ya ghorofa kadhaa.
Huku akitabasam, akaniambia ni mambo matatu; Bidii kwa unachokifanya, Muombe Mungu, na Bahati.
Sent using Jamii Forums mobile app
My biggest mistake me ndo hii hapa na spend sana kuliko nachoingizaKanuni ya utajiri ni simple sana
- Kufanya kazi kwa bidii {kwa bidii haswa bila kujali challenges}
- Kutumia kidogo sana katika kile unachozalisha
- Kuwekeza zaidi kile unachozalisha mahali zaidi ya moja
Hakuna zaidi.
Ndio umejua leo CuteJancs kuwa umasikini moto wa Duniani, ukiwa masikini utadharaulika na kila Rika. tupige Kazi tujikwamue.Habari za mwaka mpya Wana JF,
mwaka ndo umeanza tutafte pesa kwa namna yeyote ile, Tuache uoga athari za umaskini ( dhiki) ni chungu mithiri ya Moto wa jehenamu.
Hahah Chalii kwa uongo uko vzr sana aisee.Hahahaha Yani Kuna vitu serious navipitia kwenye familia halafu mm ndo mkubwa nashindwa kuvisolve
Nimepoteza ndgu na jamaa wa familia sababu tu ya umaskini ya kukosa pesa ya kugharamia matibabu...nauchukia umaskini natafuta usiku na mchana lakini mambo ni magumu
Hawa matajiri wamefanyaje?
Mkuu tu tag kwenye uo Uzi tuuone.Hahah Chalii kwa uongo uko vzr sana aisee.
We si kuna thread humu jf umesema uko njema sana,kila mwaka unabadili magari,kwenda Norway holiday ni kawaida tu kwako.
Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu boss.