Vitabu vipi unavyonambia nisome
List ya vitabu nilivosoma
1. Ujasiliamali by wakuru magige
2. Success system that never Fail
3. Think and grow rich
4. Rich Dad, poor Dad
5. Maisha na mafanikio
6.The secret of success
7. The power of positive mind
8.The world of bussiness
Na vingine nimevisahau....
Niongezee vyako nikasome
this word doesn't existinexcapable
It can be true.this word doesn't exist
Kasema tajiri Mfuruki sio maneno yangu
Nkukomaa tu hamna namnaUnadhani Kuna bahati kwenye maisha, utachemsha mkuu.... Au unataka uapplly Idea za Napoleon Hill kwenye kitabu chake Cha Think and grow rich
.Kuna sifa za Hawa streetsmarter wanazozitumia ndo nataka nizifahamu
Nkupeleke kwa nkurunkenge upate utajiri fasta?Hahahaha Yani Kuna vitu serious navipitia kwenye familia halafu mm ndo mkubwa nashindwa kuvisolve
Nimepoteza ndgu na jamaa wa familia sababu tu ya umaskini ya kukosa pesa ya kugharamia matibabu...nauchukia umaskini natafuta usiku na mchana lakini mambo ni magumu
Hawa matajiri wamefanyaje?
Hapo kwenye bahati ndo kuna siri kubwa imejificha...Mbona wengine Kama ni elimu, Kama ni bidii tunayo, strategy tunazo mbna mafanikio hatuyaoni
umekuja Leo mjini..kaa kimyaMfuruki Ndo nan
Sawa mkuuumekuja Leo mjini..kaa kimya
Mkuu labda unaongelea umaskini upi hasa kati ya umaskini wa kipato na umaskini wa fikra/akili[/QUOT
Rudia kusoma thread, ujuaji ukizidi Sana matokeo... Najua hapa unataka kuniketa theory za makaratasi za kusuccessed
.Rudia kuisoma thread utaelewa
Sawa we endelea kusoma but Mimi Kuna vitu navihitaji more than Hivyo nitavisoma baadaemost of vitabu ulivyosoma nimevisoma but vyakuongeza ni As a man thinketh, The power of your subconcious mind na The game of life and how to play it. Vitabu ulivyosoma ni vya kuinspire sana na kumotivate kama hujaona mabadiliko nakushauri ufatilie page ya joel nanauka instagram anaprogram za kucoach watu kubadilika kifikra na unajua kila kitu kinaanzia kwenye fikra pia uangalie video zake youtube nzuri mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu labda unaongelea umaskini upi hasa kati ya umaskini wa kipato na umaskini wa fikra/akili