Hakuna kitu kibaya Kama umaskini

Wewe. Unaumwa yaani watu wa JF eti mtu humjui anasema wewe hutofanikiwa
Ok sawa
formula ni hiyo hiyo wew hufanikiwi na utachelewa kufanikiwa coz unatafuta kitu ambacho hakipo siri nyingi ni kumtanguliza Mungu na kusali sana pia kufanya kila kitu kwa kujiamini kwamba kitafanikiwa bila doubt utatoboa soon

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha Yani Kuna vitu serious navipitia kwenye familia halafu mm ndo mkubwa nashindwa kuvisolve

Nimepoteza ndgu na jamaa wa familia sababu tu ya umaskini ya kukosa pesa ya kugharamia matibabu...nauchukia umaskini natafuta usiku na mchana lakini mambo ni magumu

Hawa matajiri wamefanyaje?
Ni siri ambayo hawawez kamwe kukuambia mkuu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cycle of poverty
Ukiwa masikini, hata mbwa wako anaweza kukuuma!

Kuna rafiki yangu ni tajiri, nilimuuliza siri ya mafanikio yake baada ya kufungua hotel yake mpya ya kisasa ya ghorofa kadhaa.
Huku akitabasam, akaniambia ni mambo matatu; Bidii kwa unachokifanya, Muombe Mungu, na Bahati.

Mbona wengine Kama ni elimu, Kama ni bidii tunayo, strategy tunazo mbna mafanikio hatuyaoni
 
we ndo unaumwa wap nimesema hutofanikiwa? naona kutokufanikiwa kumekukaa kichwani pole naelewa but usijal badisha tu strategies weka mipango madhubuti tumia akili sana penda kujifunza sana hasa kusoma vitabu utafanikiwa sawae
Wewe. Unaumwa yaani watu wa JF eti mtu humjui anasema wewe hutofanikiwa
Ok sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
we ndo unaumwa wap nimesema hutofanikiwa? naona kutokufanikiwa kumekukaa kichwani pole naelewa but usijal badisha tu strategies weka mipango madhubuti tumia akili sana penda kujifunza sana hasa kusoma vitabu utafanikiwa sawae

Sent using Jamii Forums mobile app
Vitabu vipi unavyonambia nisome
List ya vitabu nilivosoma

1. Ujasiliamali by wakuru magige
2. Success system that never Fail
3. Think and grow rich
4. Rich Dad, poor Dad
5. Maisha na mafanikio
6.The secret of success
7. The power of positive mind
8.The world of bussiness

Na vingine nimevisahau....
Niongezee vyako nikasome
 
Niliwahi kumsikiliza Mfuruki kwenye mahojiano CLouds TV..alisema hata ukiwa na sifa zote bahati inahitajika pia...mpaka Leo natafakari....
MHUBIRI. 9:11
Nikarudi, na kuona chini ya jua, ya kwamba
si wenye mbio washindao katika michezo,
wala si walio hodari washindao vitani, wala
si wenye hekima wapatao chakula, wala si
watu wa ufahamu wapatao mali, wala wenye
ustadi wapatao upendeleo; lakini wakati na
bahati huwapata wote.
 
22 Reactions
Reply
Back
Top Bottom