Hakuna kitu kibaya Kama umaskini

Umaskin mbaya sana yani hata kuku wanadharau hadi kufikia kufanya mapenz mbele yako
Hahahaha Yani Kuna vitu serious navipitia kwenye familia halafu mm ndo mkubwa nashindwa kuvisolve

Nimepoteza ndgu na jamaa wa familia sababu tu ya umaskini ya kukosa pesa ya kugharamia matibabu...nauchukia umaskini natafuta usiku na mchana lakini mambo ni magumu

Hawa matajiri wamefanyaje?
 
They never give up.

They learn from their mistakes, change strategies and take more risks.
 
22 Reactions
Reply
Back
Top Bottom