Hakuna kitu kibaya kama kushitakiana na masikini utaonekana kuwa wewe ni mbaya tu mbele za jamii

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,895
25,944
Amani iwe juu yenu wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Ee bhana usije kabisa ukashitakiana na masikini yaan mtu mwenye kipato kidogo afu wewe kidogo kipato chako ni kikubwa

Watu watakuona kuwa wewe ni mbaya tu hata kama huna kosa

Kwanza mwenziyo ataanza kwa maneno haya

Sawa tu si kwa sababu wewe mwenzetu una magari

Sawa tu si kwa sababu wewe una maisha mazur

Unanifanyia hivyo kwa sababu mimi ni masikin sawa tu lakini yote ni mipango ya Mungu

Yote maisha leo kwangu kesho kwako

Nimeleta huu uzi leo nimetokewa na kash kash yaan jamii haijaniamin kabisa imeniona tu mimi ndo makosa baada ya yule jamaa niliyezinguana naye kuanza kumwaga machozi na kudai sawa tu wewe si tajil mwenzetu si una magari ila ipo siku tu

Dah yaan mpaka nimechoka aisee

LONDON BOY
BOY FROM ENGLAND
 
Point ya msingi ilikuwa hapo,kuwa na wewe una miliki kile kigari cha kuwapa michepuko

Amani iwe juu yenu wapendwa katika bwana

Nimeleta huu uzi leo nimetokewa na kash kash yaan jamii haijaniamin kabisa imeniona tu mimi ndo makosa baada ya yule jamaa niliyezinguana naye kuanza kumwaga machozi na kudai sawa tu wewe si tajil mwenzetu si una magari ila ipo siku tu

Dah yaan mpaka nimechoka aisee
 
Beira umepona??

Mara nyingi sisi masikini huwa tunasema au kutoa maneno kama hayo kwenu watu wa kipato cha juu/matajiri kwasababu huwa tunaamini mnatumia mali/utajiri wenu kutupokonya haki zetu hata kama nyie ndo mna makosa.
Nawasilisha mkuu
 
Hatari sana...

Ukishitakiana na uliye mzidi kipato... kila unalofanya anaona unacheza rafu unamuonea...

Mfano yeye akiongea na askari faragha ni sawa, ila ukifanya wewe unaanda mazingira ya rushwa...

Yeye akiachiliwa na mahakama ni sawa.. ila ukiachiliwa wewe umependelewa...

Yeye akiambiwa ukweli hata kama ndiyo ukweli anaona anaonewa... ila wewe ukiambiwa ukweli hata kama ndiyo ukweli wenyewe anaona unapendelewa...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom