Hakuna kiongozi wa siasa ambaye si mla Rushwa

IKIRIRI

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
2,734
3,017
Ukweli unajulikana shida wanaogopwa inajulikana mfumo wa siasa wa nchi yetu unatumia njia haramu kuingia madarakani.

Na viongozi wote tulionao Leo ni zao la utawala uliopita ambao corruption ilikuwa waziwazi..kwa msingi hiyo nani amesalimika na Rushwa..?

Mnakumbuka kiongozi mkuu wa bunge alimdunda MTU kwa fimbo?
Wote wamekula Rushwa tuwe wakweli...
Na ili c kwa wanasiasa lipo kwa mahakimu, majaji na polisi wote ni wala Rushwa hakuna ambaye hajawai.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanakazana kusoma ili wawe wala Rushwa katika sekta zote. Shame
Wengine wanasoma ili kusaidia jamii na wengi wanasoma au kusomesha ili waangamize jamii
Halafu kwenye ibada nao wamo wakiwa na magari yaliyolipiwa kwa fedha ya maskini alieomba atibiwe au apewe hati fulani.

Mnakera kwa kweli mnapoomba Pepo


Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Huwezi kupata ukitakacho bila kutumia fedha,wananchi wanajisemea 'wewe unaenda kula miaka 5,tupe kidogo ulicho nacho tule leo, maana wewe unaenda kula zaidi'.
Kwa hiyo fedha imetumika kufanikisha malengo na mahitaji ya watakao nafasi mbalimbali za kiuongozi na kisiasa.
 
Back
Top Bottom