Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,273
- 6,637
Wengi wanaotaka kuaminisha umma kuwa hayati JPM alikuwa kiongozi asiyefaa imegundulika ni wapuuzi wa huko Twita, wanasiasa njaa/matapeli ambao wananchi hawawataki. Hawa wanataka kila mtu aamini kuwa hakuwa mtu wa haki na utawala wake ulijaa udhalimu.
Lakini leo hii tumepata picha kamili, wazalendo, wamachinga, wakinamama tumeshudia wakilia na kugaagaa mabarabarani hii ni kwa sababu wanajua pengo lake litakuwa ngumu kuzibwa.
Mabaradhuli na mafedhuli mnapoteza muda maana nyie ni kama 1% ya wanaoichukia Tanzania. Maana 99% wanaipenda Tanzania na leo mmeshuhudia.