Hakuna kiongozi aliye msafi Afrika

Bubu Msemaovyo

JF-Expert Member
May 9, 2007
3,832
2,790
Wameishia kumpigia magoti tu. Nani mwenye uwezo wa kumkosoa Mugabe? Hata jina lake halikuwa likitajwa ndani ya kikao hicho wakati wakielezea msimamo wao. Kipanya amerahisisha kwa picha yake muafaka.

Kipanya Mugabe.jpg
 
Wameishia kumpigia magoti tu. Nani mwenye uwezo wa kumkosoa Mugabe? Hata jina lake halikuwa likitajwa ndani ya kikao hicho wakati wakielezea msimamo wao. Kipanya amerahisisha kwa picha yake muafaka.

View attachment 1775

Hahahahahahahaaaaaaa...!! Halafu siku hz nimesikia style mpya ya usuluhishi. i.e. Serikali ya Mseto....!! Kenya = Serikali ya mseto, tutasikia Zimbabwe nako mseto, Zanzibar nako wanabp kutaka mseto. Huu mseto utatuvimbisha matumbo waafrika. Sijui tutakimbilia wapi..!!

Tusipokaa sawa huu mseto haukawii kuchanganya hadi mabunge. Rais CCM, Waziri Mkuu CUF, Makamu wa Rais CHADEMA. Then wabunge 55% CHADEMA/Chama Kingine other than CCM. Then sijui nani atakuwa chama cha upinzani, CCM au CHADEMA au CUF..!! Sidhani kama katiba zetu za kiafrika zinakumbukwa kubadilishwa pale inapotokea suluhisho la "kimseto"..!!

Siku hz, wakongwe walio madarakani wanang'ang'ania viti na wakiona wanasakamwa, wanaita mazungumzo, then Mseto..!!!

Labda wanasiasa wakongwe ndani ya JF wanifafanulie kama mawazo yangu yako na kasoro bin mistakes.
 
Back
Top Bottom