Hakuna kifungu cha sheria kinachomruhusu mpiga kura kukaa nje ya mita 200 toka kituoni akilinda kura


MWITA100

MWITA100

Senior Member
Joined
Jul 9, 2015
Messages
138
Likes
26
Points
45
Age
26
MWITA100

MWITA100

Senior Member
Joined Jul 9, 2015
138 26 45
wasomi wetu wananishangaza sana, unakutwa mtu anajiita mwanasheria wakati hata baadh ya sheria hazijui, nina mashaka sana kama waafrika tutaacha uzembe wa kujisomea maandiko mbalimbali.

Sheria inaruhusu mtu kuendelea na shughuli zake za kawaida kwa umbali wa mita 200 kutokea kituo cha kupga kura ,na si kukusanyika pale kulinda kura, anayeruhusiwa kukaa pale kituon kulinda na kuhakiki kura ni wakala wa chama husika;

maoni: Natoa wito takukuru wasambaze maafisa wao kila kituo cha kupigia kura na wakae ndani, maana hata mkikaa kundi nje eti mnalinda kura haisaidii kama wakala wenu ana matatizo chungu nzima, ada ya watoto, kodi, madeni, halafu apatiwe milioni 10, kubadili matokeo, tena anahamishiwa kwa mpesa hapo chumbani sijui kama anaweza kukataa, na mtakaokuwa mita 200 ndo nashangaa mtajuaje hiyo, nakushauri mbowe tumia akili hiyo.
cha msingi n kuwaamini mawakala wetu coz wao ndiyo wanakuwa na ukweli alafu tuweke mawakala ambao wanakipenda chama na kuipenda tanzania
 
eden kimario

eden kimario

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Messages
9,039
Likes
14,166
Points
280
eden kimario

eden kimario

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2015
9,039 14,166 280
Nani kasema hakipo
Huyo atakuwa akili zake ameshikiwa
 

Forum statistics

Threads 1,236,542
Members 475,191
Posts 29,261,696