Hakuna kama CCM,chukueni maamuzi magumu

Marire

JF-Expert Member
May 1, 2012
12,326
5,264
Saalam wakuu .
Nimefuatilia ITV habari mida hii kuna taarifa zimenipa faraja sana.
wameoesha ni jinsi gani serekali ilivyojitahidi tutekeleza miradi mikubwa na muhimu,ule wa DART na daraja la kigamboni,na hata kwenye mikoa mbali mbali kuna miradi mizuri tu inaendelea kwenye barabara na hata reli na viwanja vya ndege.
Ogomvi wangu na CCM ni kulea mafisadi tu!leo bungeni kuna kamati wamesema TAMISEMI iliyo chini ya waziri mkuu wanaongoza kutafuna hela za halmashauri,ukigeukia uswiss hao hao CCM wameficha pesa kibao huko.
Deni la Taifa limefikia trillion 25.CCM wanafagia sebuleni ila huko vyumbani kuchafu na kunanuka,kwanini wasiwachukulie hatua hao wezi ili tuipende CCM?
 
Kuhusu deni la Taifa litazidi maradufu kwani hata fedha za ujenzi wa daraja la Kigamboni ni za mkopo kutoka NSSF
 
We mkuu kuna mambo tangu wakiwa wadogo huambiwa hayo mambo ni mwiko aidha kuyatamka au kuyafanya. Mambo uliyoyatamka hapa ni mwiko kuyatamkia CCM. Angalia kuna baya litakukuta. Au hata kutuchongea sisi.
 
kwani hujui ccyenu wachambawima?toka uhuru leo ndio unongelea daraja,miradi unayozungumzia nchi zilizopata uhuru miaka 5 baada ya tz wameshasahau.wanafanya mambo makubwa.
 
...teh teh unachowashauri kufanya ni kuwaambia waivunje ccm,maana huwezi kutenganisha mabilioni ya uswizi,ufisadi,ujangili na chama chao...
 
kwani hujui ccyenu wachambawima?toka uhuru leo ndio unongelea daraja,miradi unayozungumzia nchi zilizopata uhuru miaka 5 baada ya tz wameshasahau.wanafanya mambo makubwa.

Chadema mna matatizo yenu, yamalizeni kwanza,wacha ccm wajenge nchi.
 
Back
Top Bottom