Hakuna jipya kwenye jezi mpya za simba tizama hapa

hahahahah mkuu wanajitutumua kujibu ila ukweli hakuna cha maana kwenye jezi hizi zaidi ya kukopi toka huko duniani
 
hahahahah mkuu wanajitutumua kujibu ila ukweli hakuna cha maana kwenye jezi hizi zaidi ya kukopi toka huko duniani
IMG_20210904_073624_711.jpeg
 
Wazee wa kaziii ipo Samsung A20 ipo sokon ni mpya sana na ukinunua unapata sim box lake pamoja risit yake ya iliyonunuliwa hivyo inauzwa 200k ipo tegeta dar es salaam kwa muhitaji awasiliane na stoplight au kwa +255 653 271 318 karibu sana na huduma ya gar pikipik bajaji unasafirii unataka gariii chumba nyumba wasiliana na stoplight broker pia ukiwa unasumbuliwa na gariii yako na hujapata suluhisho mda wowote ulipo tunafika kwa mashine za kisasa na hutojuta kwa huduma zangu UZA pia NUNUA na stoplight +255 653 271 318
YOU'RE WELCOME FIRST AND AGAIN FOR GOOD SERVICES
 
kipya tengeneza chako, jessy ni biashara kama unavyo nunua smartphone yako huko na mwenzio anayo kama yako.

tuachie ss tunao nunua ww kanunue ile yenye vibwengu na vichwa vya watu
 
Simba Hata Wavae Gaguro Shida Kubwa Ni Kufanya Vizuri Na Kuleta Vikombe Vyote Haa
Mengine Hayana Uzito Wowote Zaidi Ni Utani Wa Jadi Tu
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom