Hakuna jipya katika hotuba ya Mnyika na Waandishi wa Habari

Nimesikiliza hotuba ya Mnyika kwa wanahabari yaani inaonyesha tayari wameshamtosa Mwenyekiti wao na hawana maaamuzi tena hapo ndiyo kila mtu anakufa na mzigo wake nawapa pole sana Wanachadema wote na niwaombe tu wafanye siasa za kistaarabu kuliko kuingiza na mambo ya ugaidi ndani yake wajifunze kwa CCM siasa safi watakuja kufikia malengo yao
Umeongea utoko mtupu
 
Kukamatwa kwa Mbowe na kusambaratika kwa chama chake, imekuwa pigo kubwa kwa wanaharakati koko ambao waliishi kwa kutegemea mfuko wake.

Bavicha wengi walienda msalani kutokana na vijiela vya bwana mkubwa. Ilikuwa ni rahisi watu kuuza heshima na utu wao kwa sababu ya njaa zao.

Wako wengi hapa JF lkn kutokana na sheria za kimtandao siwezi kuwataja, ila najua wenyewe watajitaja au kujionesha kupitia comments zao hapa JF. Ndio maana toka akamatwe wengi wamepotea hapa jukwaan maana hawana mtu wa kuwalipia bando za kuja kutukana hapa JF.
Wakwanza Jr mshana
 
Nimesikiliza hotuba ya Mnyika kwa wanahabari yaani inaonyesha tayari wameshamtosa Mwenyekiti wao na hawana maaamuzi tena hapo ndiyo kila mtu anakufa na mzigo wake nawapa pole sana Wanachadema wote na niwaombe tu wafanye siasa za kistaarabu kuliko kuingiza na mambo ya ugaidi ndani yake wajifunze kwa CCM siasa safi watakuja kufikia malengo yao
Magaidi wa ccm kina makonda, msukuma, kihonhosi, kheti james, sabaya, wanamdhihaki gaidi wa kuchonga wa chadema,
Ccm imechoka inatembea kwe kwapa la polis tiss na mahakama, ila mwaka huu hamtoboi
 
Nimesikiliza hotuba ya Mnyika kwa wanahabari yaani inaonyesha tayari wameshamtosa Mwenyekiti wao na hawana maaamuzi tena hapo ndiyo kila mtu anakufa na mzigo wake nawapa pole sana Wanachadema wote na niwaombe tu wafanye siasa za kistaarabu kuliko kuingiza na mambo ya ugaidi ndani yake wajifunze kwa CCM siasa safi watakuja kufikia malengo yao

nyani haoni kundule kwa kweli mpka sasa sijawai kuona tofauti ya ccm na nterehamwe;
 
Back
Top Bottom