Hakuna jipya chini ya jua

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
11,235
2,000
Wazee wa matukio mnatia huruma sana mnadhani maisha yatasimama kwa sababu mtu mmoja kapotea au kafa.hamna kitu kipya hata muugue stress mwaka mzima.maisha Ni wewe unavyotaka ukiamua kuwalilia wengine walilie ukiamua kwenda mbele nenda mbele.ukiamua Kuwa mjanja Kuwa mjanja..tumia maisha yako vizuri Kila kitu kipo sawa muda upo na vitu vipo.
Hata muanzishe thread Mia hamna kitakachobadilika niaminini Mimi watu wanaendelea na kazi zao Kama kawaida.iwe wanajua au hawajui ila ndo historia inakuwa imetoka.cha msingi chunga uwe mahali salama muda wote ukifanya vitu sahihi na kwa wakati muafaka.zingatia ninachokwambia
Alternative nyingine Ni kuandamana Basi hakuna nyingine tena hata mkisali kwa Mungu mpaka kukuche
 

ruby garnet

JF-Expert Member
Apr 10, 2017
2,601
2,000
Huyu ndiye dege john. Tafasili yake huwa ni MTU wa kung'ata na kupuliza. Huwa anapenda kupata vya bure bila kufanya kazi kupitia migongoni ya waliomwaga jasho lao. Anaweza kukuuza mchana kweupe.
 

Vitalis Msungwite

JF-Expert Member
May 11, 2014
2,280
2,000
Harafu nyie wenye ID fake huwa mnapotea kama vifaranga na hakuna anayejua. Wewe umekula deal na Mungu hayatakupata mabaya maana naona hata "utu" umekutoka kabisa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom