Lituye
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 1,862
- 5,679
Kifupi ni kwamba mnaojidanganya kuwa ndege iliyokamatwa huko Canada na mkulima mwenzetu ndio pekee inaitia serikali hasara kubwa ni kujidanganya tu sisi malofa.
Kila mara huwa napita pale Airport katika shughuli zangu za kawaida. Cha kushangaza kila wakati nikipita nakuta ndege hizo mpya ukizihesabu zinafikia sio chini ya sita zikiwa zimepaki tu.
Hazifanyi biashara yoyote afadhali wangezipeleka katika banda la maonyesho pale Saba Saba. Ukipita asubuhi, mchana, usiku, unazikuta na ukirudi unazikuta ndege zipo tu zimekaa.
Nadhani hiyo ndege ya huko Canada iendelee kupaki tu huko huko maana ikija huku itajaza nafasi tu za parking pale Airport bila sababu. Ni mfanyabiashara gani makini anunue mahindi gunia 50 halafu hayauziki na amekaa nayo ndani miezi 7 kisha anaenda kuongeza magunia mengine 200?
Anyway maendeleo hayana vyama CCM.