Hakuna faida ya dini hii, ni bora isiwepo kabisa. Dini bora ni hii nyingine

binafsi sina Dini ina namuamini Mungu. Dini ni mpango wa shetani kuwakamata watu wanaoamini wanamtumikia au mwabudu Mungu. huwa najiuliza huyu mwenye Dini ambaye anabagua wengine ambao si wa dini yake na kuwachukia huyu si tayari anafanya kazi ya shetani? kama una dini na ukawaita wenzio majina mabaya ya kubeza au wewe kujitweza kama vile ni bora kuliko wengine hii si ni tabia ya shetani kabisa?

kma utaua wengine ukitetea dini wewe unamwabudu Mungu gani ambaye inabidi utetee dini yake au umtetee? Mungu navyoamini hatetewi kwa mauaji ya watu wengine kama vile usipowaua hao basi wataenda kumuua mungu wako. Mungu anatetewa kwa kutenda mema na kufuata yale yaliyo mema.

babu zetu walikuwa na dini. nazo zilikuwa na mapungfu yao kadhaa. lakini kama tungeweza kuunda dini ambayo inatokana na Dini za Asili, Ukristo na Uislamu pengine tungepata Dini moja CHotara nzuri sana. Dini ambayo itafundisha mambo makuu yafuatayo
1. Upendo
2. Msamaha
3. Amani
4. Udugu
5. ushirikiano

dini ambayo itapingana kabisa na mambo kama
1. kuuana
2. kuchukiana
3. kubaguana
4. kutengana
5. uchoyo
6. malipizi
7. zinaa
etc

nataka kuwe na dinia mbayo itajali wagonjwa, yatima, maskini, wajane wenye dhiki na mateso mbali mbali. hii ndiyo dini ambayo ingewafaa waafrika. waafrika wangeishi kwa amani na upendo na wangeweza sambaza dini hii kwa wengine. ni upumbavu kuja kunambia "hii ndo dini ya kweli " wakati najua uongo mwingi ulioko kwenye vitabu na mahubiri au matendo ya mhusika au wahusika.

kama unaonesha chuki kwa wasio na dini yako unadhani hiyo chuki itaishia hapo? chuki husambaa. utawatenga wasio na dini yako mkabaki wenyewe ndai ya dini nako utagundua kuna dhehebu mbalimbali. utatenga na ukiwa kwenye dhehebu lako utagundua pia kuna watu wana utofaut flani na wewe utawatenga mwishoni utajikuta upo peke yako.

kuna watu wanaamini wao ni waarabu kabisa kwa sababu ya dini ya ki arabu ambayo inabeba tamaduni za kiarabu. dini ni utamaduni kama hujui. na hawa wanawachukia waafrika wenzao ambao walikuwa ndugu zao kabisa miaka KADHAA KABLA YA UTUMWA. alipokuja mwaarabu akawawekea mipaka kuwa anayefuata utamaduni huu wa kiarabu kama wewe ndo ndugu yako asiye si ndugu yako. wapumbavu. narudia.si wajinga. wapumbavu

kuna watu wanaamini wao ni wazungu kabisa kwa sababu ya dini ambayo inaasili ya mashariki ya kati lakini ikaenezwa au kuchukuliwa na wazungu. na hawa nao huwatenga wengine kuwa si ndugu zao wakisahau miaka kadhaa nyuma KABLA YA BIASHARA YA UTUMWA walikuwa ni ndugu zao.wapumbavu.narudia.si wajinga.wapumbavu.

dini iliyo safi ni dini inayojali yatima,maskini,wagonjwa,wenye dhiki na shida.
Umeyagusa maisilamu
 
Kwa heshima na taadhima zote...suali lako adhimu Naomba tuwe wakweli na wazi.. " imani ya Kislam imeweza kuunganisha mataifa yote (Asia,Africa,Europe,America,nk) kutokana na misingi na nguzo zake 5 !! Nakusihi usichanganye matendo ovu ya baadhi ya waumini wa kiislam, halafu uka akisi juu ya UISALAM !! hata hivo siuvunjii hadhi Kristo.. heshima yao ipo juu,vizuri.... Hivyo ucha mungu upo ktk nafsi ya MwanaAdamu pekee !!
Umeunganisha au inavunja amani
 
Haujaunganisha ila umetenganisha
 
Kwani Nini Mungu hakuleta mitume wake Afrika, kwani wa Afrika nao si binadamu na ni wachapaka kazi Kwelikweli.

Mbona kaweza kuleta mtume Kwa waarabu hajui kusoma Wala kuandika, ila Malaika aka mfundisha vyote hivi .

SS kama wa Afrika tuna jisikia vibaya Sana, kwa Nini Mungu ametutenga kiasi hiki
 
CHIZI MAARIFA naomba Nikusahihishe Ukristo SIO DINI.

Ukristo ni Imani ya KUMUAMINI Yesu Kristo Mwana WA MUNGU.

Aliyetumwa na Baba yake kuja Duniani kutufundisha yote yaliyotoka kwa Baba yake (MUNGU)
YESU alitufundisha mambo mengi lakini nitataja machache tu.

1. Upendo.
2. Umoja.
3. MSAMAHA.
4. Upatanishi
5. Kusaidia wengine.
6. Kujali yatima na wajane.
7. Amani.
8.Moyo safi.
9. Kuwaombea WATU kwa Mungu.

10. AMRI KUU ya Yesu ilikuwa ni Upendo.
Mpende JIRANI YAKO kama NAFSI YAKO.

Upendo. Upendo, upendo, upendo, upendo, upendo, upendo, upendo, upendo , upendo..,...............................

Upendo
 
Kwani Nini Mungu hakuleta mitume wake Afrika, kwani wa Afrika nao si binadamu na ni wachapaka kazi Kwelikweli.

Mbona kaweza kuleta mtume Kwa waarabu hajui kusoma Wala kuandika, ila Malaika aka mfundisha vyote hivi .

SS kama wa Afrika tuna jisikia vibaya Sana, kwa Nini Mungu ametutenga kiasi hiki

Soma BIBLIA Ina Siri zote.

Ukisoma Biblia utaijua Rangi ya Adamu, Abrahamu, Muda na WATU wote Hadi kuja kwa Yesu.......

Soma BIBLIA Kila siku.

Utaondoa huo ujinga
 
Unataka watu wasome Bibilia ipi hizi barua za paulo kwa wagalatia na akina nani sijui ndio “maneno ya Mungu” ?
 
Kwani Nini Mungu hakuleta mitume wake Afrika, kwani wa Afrika nao si binadamu na ni wachapaka kazi Kwelikweli.

Mbona kaweza kuleta mtume Kwa waarabu hajui kusoma Wala kuandika, ila Malaika aka mfundisha vyote hivi .

SS kama wa Afrika tuna jisikia vibaya Sana, kwa Nini Mungu ametutenga kiasi hiki

Ukweli ni kwamba la huku “Afrika” hakutokea muungwana mjanja mjanja kama fundi kapenta na mudi kuwa hadaa watu ametumwa na Mungu
 
binafsi sina Dini ina namuamini Mungu. Dini ni mpango wa shetani kuwakamata watu wanaoamini wanamtumikia au mwabudu Mungu. huwa najiuliza huyu mwenye Dini ambaye anabagua wengine ambao si wa dini yake na kuwachukia huyu si tayari anafanya kazi ya shetani? kama una dini na ukawaita wenzio majina mabaya ya kubeza au wewe kujitweza kama vile ni bora kuliko wengine hii si ni tabia ya shetani kabisa?

kma utaua wengine ukitetea dini wewe unamwabudu Mungu gani ambaye inabidi utetee dini yake au umtetee? Mungu navyoamini hatetewi kwa mauaji ya watu wengine kama vile usipowaua hao basi wataenda kumuua mungu wako. Mungu anatetewa kwa kutenda mema na kufuata yale yaliyo mema.

babu zetu walikuwa na dini. nazo zilikuwa na mapungfu yao kadhaa. lakini kama tungeweza kuunda dini ambayo inatokana na Dini za Asili, Ukristo na Uislamu pengine tungepata Dini moja CHotara nzuri sana. Dini ambayo itafundisha mambo makuu yafuatayo
1. Upendo
2. Msamaha
3. Amani
4. Udugu
5. ushirikiano

dini ambayo itapingana kabisa na mambo kama
1. kuuana
2. kuchukiana
3. kubaguana
4. kutengana
5. uchoyo
6. malipizi
7. zinaa
etc

nataka kuwe na dinia mbayo itajali wagonjwa, yatima, maskini, wajane wenye dhiki na mateso mbali mbali. hii ndiyo dini ambayo ingewafaa waafrika. waafrika wangeishi kwa amani na upendo na wangeweza sambaza dini hii kwa wengine. ni upumbavu kuja kunambia "hii ndo dini ya kweli " wakati najua uongo mwingi ulioko kwenye vitabu na mahubiri au matendo ya mhusika au wahusika.

kama unaonesha chuki kwa wasio na dini yako unadhani hiyo chuki itaishia hapo? chuki husambaa. utawatenga wasio na dini yako mkabaki wenyewe ndai ya dini nako utagundua kuna dhehebu mbalimbali. utatenga na ukiwa kwenye dhehebu lako utagundua pia kuna watu wana utofaut flani na wewe utawatenga mwishoni utajikuta upo peke yako.

kuna watu wanaamini wao ni waarabu kabisa kwa sababu ya dini ya ki arabu ambayo inabeba tamaduni za kiarabu. dini ni utamaduni kama hujui. na hawa wanawachukia waafrika wenzao ambao walikuwa ndugu zao kabisa miaka KADHAA KABLA YA UTUMWA. alipokuja mwaarabu akawawekea mipaka kuwa anayefuata utamaduni huu wa kiarabu kama wewe ndo ndugu yako asiye si ndugu yako. wapumbavu. narudia.si wajinga. wapumbavu

kuna watu wanaamini wao ni wazungu kabisa kwa sababu ya dini ambayo inaasili ya mashariki ya kati lakini ikaenezwa au kuchukuliwa na wazungu. na hawa nao huwatenga wengine kuwa si ndugu zao wakisahau miaka kadhaa nyuma KABLA YA BIASHARA YA UTUMWA walikuwa ni ndugu zao.wapumbavu.narudia.si wajinga.wapumbavu.

dini iliyo safi ni dini inayojali yatima,maskini,wagonjwa,wenye dhiki na shida.
Dini hazina maana yoyote kabisa, yaani baadhi zinatoa mafundisho ya kuzuia watu eti wasile kiti moto!? Mambo gani ya ajabu haya!
IMG-20160113-WA0013.jpg
 
Back
Top Bottom