Hakuna dhambi mpya

zegamba180

JF-Expert Member
Oct 8, 2014
821
1,000
Kama kufanya baadhi ya mambo tunazoziita dhambi, basi nikuambie hivi " Hakuna dhambi mpya zote zilishafanya na wenzetu walioangamizwa na gharika. Sisi sasa tunagandamizia tu." Mfano;

1. Kama suala la kula uzinzi ni sodoma na gomora. Watu walifanya uchafu wa ajabu hata leo unafanyika.
2. Kuiba mwanamke wa mwenzako hata mfalme Daudi aliiba.
3. Dhuluma ilifanywa na mkusanya kodi Zakayo, hata sasa TRA n.k wanapiga dili.

Naomba kama wewe umegundua ipo mpya karibu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom