Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 2,572
- 4,239
Kuna rafiki yangu anaumri wa zaidi kidogo ya mika 30 amekuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa pressure ya kupanda kwa zaidi ya miaka miwili sasa.
Amepata matibabu ya kila aina mahospitalini ambapo yote yamekuwa ni kupunguza tu kwa muda. Amejaribu pia miti shamba kidogo ila hajapata mtaalam sahihi wa kutibu na sio kupunguza.
Hivi hapa Tanzania hakuna wataalamu wa miti shamba wanaweza kutibu pressure ikapona kabisa?
Najua wengi wanaweza kupunguza makali ila hapa naongelea kutibu ipone kabisa