Nyakibimbili
Senior Member
- May 4, 2019
- 185
- 287
Ndg zangu wana jf, kuna janga kubwa la ukosefu wa dawa kwenye zahanati katibu zote hapa wilayani kwetu,,huu sasa ni katibu mwezi wa tano hakuna hata panadol ndg zangu na kibaya zaidi dozi ya mseto imepanda kutoka 1500 hadi 4000 kwenye maduka ya watu binafsi,,huu si umbeya ni habari sahihi.