Hakuna Chama cha Upinzani kinachoweza kuitawala Nchi

Mkuu watanzania wengi wetu hatupendi Chama kinachotutawala.

Maana mtawala hanaga urafiki wa dhaki na anayemtawala.

CHAMA KITAKACHOTUONGOZA KIRAFIKI KITAKUJA.
Una uhakika gani kwamba kitakuongoza kirafiki
 
Ni mjinga tu anayeweza kufikiri kuwa yy hawezi kufa bali kifo kimeumbiwa wengine
Hata kifo hakimchukui mapema mtu mwenye maono yenye faida, ispokuwa mtu asiye na maono huchukuliwa mara! Kwa sababu hana faida, maono na mikakati ya kijinga halafu uongoze watu wenye maono makubwa! Narudia tena, ni mtu mjinga pekee atayeamini ujinga huo
 
Habari za muda huu wanajamii forum wote natumai ni wazima wa afya na mnaendelea vyema na majukumu yenu ya kutafuta riziki:

Kwa ufupi ni kwamba nchi ya Tanzania kwa sasa inaenda kwenye uchaguzi mkuu mwezi october na kama ilivozoeleka kunapokaribia uchaguzi lazima kunakuwa na upepo wa uelekeo hasa kujua nani mwenye uwezekano mkubwa wa kuongoza nchi.

Kwa hakika nimejaribu kufatilia siasa za tanzania japo kwa ufupi nimegundua kwamba hali halisi kwa sasa inadhihirisha wazi pasipo shaka kuwa hakuna chama cha upinzani ambacho kinaweza kuaminiwa na watanzania kupewa dola (namaanisha iwe angalau 50% kutoka upinzani). hii inatokana na ukweli kwamba hakuna chama ambacho kinawekaga wazi sera zake za kuwakomboa watanzania, zaidi ya kupatia umaarufu kupitia udhaifu wa CCM ambacho ndio chama tawala,

Na hii itakuja kuwaathiri vibaya sana kwa sababu inaonesha dhahiri kwa sasa CCM inaendelea kujiimarisha na kuwa wamoja wakati huo vyama vya upinzani vinayumba.

Nawashauri wapinzani kujipanga na kujiimarisha kwa kujikita katika siasa za hoja na agenda za maendeleo ili kuaminika kwa wananchi.

CCM inahakikisha inabaki madarakani huku wapinzani wakijitutumua kuingia, huu ni msigano unaohitaji ushindani wa hoja sio vioja.

hakuna viongozi wa kueleweka wa upinzani wanaoweza kuongoza nchi hii ikafika kwa sababu vyama vya upinzani vinategemea umaarufu wa mtu mmoja mmoja badala ya uimara na umaarufu wa chama. mfano CHADEMA kinamtegemea mtu mmoja tu au wawili wengine wote hopeless. NCCR ndio kabisaaa.

CUF hata matamko tu ya kawaida wanamtegemea mwenyekiti wao na kumlazimisha kugombea ili hali hataki.

Kauli za mara kwa mara za vitisho na viashiria vya kuligawa taifa kutoka kwa viongozi wa upinzani nazo zimekuwa na mchango mkubwa kupunguza imani ya watanzania kwa wapinzani.

NB: Ni wakati muafaka sasa, kuliko kutegemea udhaifu wa utawala iliopita kupata point majukwaani ni heri wajikite kwenye kuweka Sera mzuri zenye kuwakomboa watanzania ili waweze kuaminika na wananchi
Aisee unakosea vibaya mno kufikiri hivyo, acha mara moja.
 
Kwa katiba hii ya chama kimoja upo sahihi
 
joined 2020 tena mwezi huu wewe ni mataga shenzy!!!

Inaelekea mgeni humu JF.

Unajua hata ADMIN wa JF anaweza unda ID fake na akaiponda CCM au CHADEMA.

Na kwa akili yako ukajua wewe ndiyo wa kwanza kujiunga JF.!!!???? 😀😀
 
Zanzibar 2015 wote tunajua ccm ilishindwa uchaguzi, Jecha Kwa shinikizo la serikali na vyombo vya dola wakafanya yao! Hivyo ulichoandika ni batili na hakina mantiki!

Kwa Ubovu wa Vyama vya Upinzani na Undumilakuwili Wao, ni Mwendawazimu tu pekee ndiyo atadhani kuwa ipo CCM itang'olewa na Wapinzani.
 
Zimeanguka tawala kama Roman Empire itakua CCM? Ni chama imara ila msikipe umilele, kama kilivyoanza ndivyo kitakavyokufa.kitakacho dumu milele ni falsafa na legacy za viongozi makini kama Nyerere
 
Zanzibar 2015 wote tunajua ccm ilishindwa uchaguzi, Jecha Kwa shinikizo la serikali na vyombo vya dola wakafanya yao! Hivyo ulichoandika ni batili na hakina mantiki!
Je upepo ulikuwa upande gani kabla ya uchaguzi
 
Zimeanguka tawala kama Roman Empire itakua CCM? Ni chama imara ila msikipe umilele, kama kilivyoanza ndivyo kitakavyokufa.kitakacho dumu milele ni falsafa na legacy za viongozi makini kama Nyerere
Sawa ila kwa inavoonesha itachukua muda sana kutoka
 
Yani bibie unajitahidi sana
Habari za muda huu wanajamii forum wote natumai ni wazima wa afya na mnaendelea vyema na majukumu yenu ya kutafuta riziki:

Kwa ufupi ni kwamba nchi ya Tanzania kwa sasa inaenda kwenye uchaguzi mkuu mwezi october na kama ilivozoeleka kunapokaribia uchaguzi lazima kunakuwa na upepo wa uelekeo hasa kujua nani mwenye uwezekano mkubwa wa kuongoza nchi.

Kwa hakika nimejaribu kufatilia siasa za tanzania japo kwa ufupi nimegundua kwamba hali halisi kwa sasa inadhihirisha wazi pasipo shaka kuwa hakuna chama cha upinzani ambacho kinaweza kuaminiwa na watanzania kupewa dola (namaanisha iwe angalau 50% kutoka upinzani). hii inatokana na ukweli kwamba hakuna chama ambacho kinawekaga wazi sera zake za kuwakomboa watanzania, zaidi ya kupatia umaarufu kupitia udhaifu wa CCM ambacho ndio chama tawala,

Na hii itakuja kuwaathiri vibaya sana kwa sababu inaonesha dhahiri kwa sasa CCM inaendelea kujiimarisha na kuwa wamoja wakati huo vyama vya upinzani vinayumba.

Nawashauri wapinzani kujipanga na kujiimarisha kwa kujikita katika siasa za hoja na agenda za maendeleo ili kuaminika kwa wananchi.

CCM inahakikisha inabaki madarakani huku wapinzani wakijitutumua kuingia, huu ni msigano unaohitaji ushindani wa hoja sio vioja.

hakuna viongozi wa kueleweka wa upinzani wanaoweza kuongoza nchi hii ikafika kwa sababu vyama vya upinzani vinategemea umaarufu wa mtu mmoja mmoja badala ya uimara na umaarufu wa chama. mfano CHADEMA kinamtegemea mtu mmoja tu au wawili wengine wote hopeless. NCCR ndio kabisaaa.

CUF hata matamko tu ya kawaida wanamtegemea mwenyekiti wao na kumlazimisha kugombea ili hali hataki.

Kauli za mara kwa mara za vitisho na viashiria vya kuligawa taifa kutoka kwa viongozi wa upinzani nazo zimekuwa na mchango mkubwa kupunguza imani ya watanzania kwa wapinzani.

NB: Ni wakati muafaka sasa, kuliko kutegemea udhaifu wa utawala iliopita kupata point majukwaani ni heri wajikite kwenye kuweka Sera mzuri zenye kuwakomboa watanzania ili waweze kuaminika na wananchi
 
Habari za muda huu wanajamii forum wote natumai ni wazima wa afya na mnaendelea vyema na majukumu yenu ya kutafuta riziki:

Kwa ufupi ni kwamba nchi ya Tanzania kwa sasa inaenda kwenye uchaguzi mkuu mwezi october na kama ilivozoeleka kunapokaribia uchaguzi lazima kunakuwa na upepo wa uelekeo hasa kujua nani mwenye uwezekano mkubwa wa kuongoza nchi.

Kwa hakika nimejaribu kufatilia siasa za tanzania japo kwa ufupi nimegundua kwamba hali halisi kwa sasa inadhihirisha wazi pasipo shaka kuwa hakuna chama cha upinzani ambacho kinaweza kuaminiwa na watanzania kupewa dola (namaanisha iwe angalau 50% kutoka upinzani). hii inatokana na ukweli kwamba hakuna chama ambacho kinawekaga wazi sera zake za kuwakomboa watanzania, zaidi ya kupatia umaarufu kupitia udhaifu wa CCM ambacho ndio chama tawala,

Na hii itakuja kuwaathiri vibaya sana kwa sababu inaonesha dhahiri kwa sasa CCM inaendelea kujiimarisha na kuwa wamoja wakati huo vyama vya upinzani vinayumba.

Nawashauri wapinzani kujipanga na kujiimarisha kwa kujikita katika siasa za hoja na agenda za maendeleo ili kuaminika kwa wananchi.

CCM inahakikisha inabaki madarakani huku wapinzani wakijitutumua kuingia, huu ni msigano unaohitaji ushindani wa hoja sio vioja.

hakuna viongozi wa kueleweka wa upinzani wanaoweza kuongoza nchi hii ikafika kwa sababu vyama vya upinzani vinategemea umaarufu wa mtu mmoja mmoja badala ya uimara na umaarufu wa chama. mfano CHADEMA kinamtegemea mtu mmoja tu au wawili wengine wote hopeless. NCCR ndio kabisaaa.

CUF hata matamko tu ya kawaida wanamtegemea mwenyekiti wao na kumlazimisha kugombea ili hali hataki.

Kauli za mara kwa mara za vitisho na viashiria vya kuligawa taifa kutoka kwa viongozi wa upinzani nazo zimekuwa na mchango mkubwa kupunguza imani ya watanzania kwa wapinzani.

NB: Ni wakati muafaka sasa, kuliko kutegemea udhaifu wa utawala iliopita kupata point majukwaani ni heri wajikite kwenye kuweka Sera mzuri zenye kuwakomboa watanzania ili waweze kuaminika na wananchi
Kama hahwawezi kelele za nini
 
Tundu lisu alishatupa majibu kuwa mkisema mmejenga miundombinu tuwauloze kwani wakoloni walifanya nini, nyerere, mwinyi, mkapa hakuna utawala ambayo haujajenga miundombinu kwaiyo mambo ta miundo mbinu siyo hoja

Mkisema mmekuza uchumi tunakataa tena kwa ushahidi wa JK Jana kuwa halo ya uchumi mlioikuta kipindi cha JK ndio IPO mpaka sasa

Kibaya zaidi wanaichi sana umaskini wakutisha hapo ndio patamu yani wanainchi sana umaskini wakutisha tena wakutisha jipangeni kwa hoja hii maana hizo reli, ndege nk uko katavi hawana, uko ngala ndio hawajui kabisa kwaiyo kama kampeni mnafanyia dar sawa
 
Habari za muda huu wanajamii forum wote natumai ni wazima wa afya na mnaendelea vyema na majukumu yenu ya kutafuta riziki:

Kwa ufupi ni kwamba nchi ya Tanzania kwa sasa inaenda kwenye uchaguzi mkuu mwezi october na kama ilivozoeleka kunapokaribia uchaguzi lazima kunakuwa na upepo wa uelekeo hasa kujua nani mwenye uwezekano mkubwa wa kuongoza nchi.

Kwa hakika nimejaribu kufatilia siasa za tanzania japo kwa ufupi nimegundua kwamba hali halisi kwa sasa inadhihirisha wazi pasipo shaka kuwa hakuna chama cha upinzani ambacho kinaweza kuaminiwa na watanzania kupewa dola (namaanisha iwe angalau 50% kutoka upinzani). hii inatokana na ukweli kwamba hakuna chama ambacho kinawekaga wazi sera zake za kuwakomboa watanzania, zaidi ya kupatia umaarufu kupitia udhaifu wa CCM ambacho ndio chama tawala,

Na hii itakuja kuwaathiri vibaya sana kwa sababu inaonesha dhahiri kwa sasa CCM inaendelea kujiimarisha na kuwa wamoja wakati huo vyama vya upinzani vinayumba.

Nawashauri wapinzani kujipanga na kujiimarisha kwa kujikita katika siasa za hoja na agenda za maendeleo ili kuaminika kwa wananchi.

CCM inahakikisha inabaki madarakani huku wapinzani wakijitutumua kuingia, huu ni msigano unaohitaji ushindani wa hoja sio vioja.

hakuna viongozi wa kueleweka wa upinzani wanaoweza kuongoza nchi hii ikafika kwa sababu vyama vya upinzani vinategemea umaarufu wa mtu mmoja mmoja badala ya uimara na umaarufu wa chama. mfano CHADEMA kinamtegemea mtu mmoja tu au wawili wengine wote hopeless. NCCR ndio kabisaaa.

CUF hata matamko tu ya kawaida wanamtegemea mwenyekiti wao na kumlazimisha kugombea ili hali hataki.

Kauli za mara kwa mara za vitisho na viashiria vya kuligawa taifa kutoka kwa viongozi wa upinzani nazo zimekuwa na mchango mkubwa kupunguza imani ya watanzania kwa wapinzani.

NB: Ni wakati muafaka sasa, kuliko kutegemea udhaifu wa utawala iliopita kupata point majukwaani ni heri wajikite kwenye kuweka Sera mzuri zenye kuwakomboa watanzania ili waweze kuaminika na wananchi

Ni kweli hakuna chama cha Upinzani kinachotaka kuja KUTAWALA NCHI. Ila naamini kuna vyama vya upinzani vyenye uwezo wa KUONGOZA NCHI.
 
Back
Top Bottom