Hakuna chama cha upinzani ambacho kina uwezo wa kuongoza nchi!

Naenda moja kwa moja kwenye mada.

Ccm ni chama tawala lkn kimefika mahali kinaendeshwa kwa matakwa ya mtu mmoja , wengine wote wanafuata amri na maelekezo na huyo mtu.

Kwa bahati mbaya mwenyekiti wa chama ndiye rais pia, hii inapelekea mwenyekiti na ccm kuwa kama Mungu wa ccm kwani yeye ndiye rais na mwenyekiti pia. Kibaya zaid mwenyekiti huyu hapendi kupingwa wala kukosolewa na yyote .....

Wanaccm tumebaki kunung'unikia uvunguni hatuwezi kusemea hadharani maani ukibainika kumkosoa hadharani utaitwa msariti na pengine kufutiwa uanchama wako.

Ktk uongozi was juu wa chama wa miaka ya nyuma hakujawahi tokea uongozi wa namna hii.

Ukimsifia tu mwenyekiti jiandae kulamba cheo ukienda kinyume jiandae kukumbana na ghasia.

Pamoja na ongwe hili la uongozi ndani ya chama twawala bado sioni chama mbadala ambacho kinaweza kupambana mpaka kushika hatamu ya uongozi badala ya ccm.

Nikiangalia chadema bado naona wapo kisanii sanii tu kwa sababu zifuatazo;

Chadema pamoja kuwa chama kikuu cha upinzani lkn hawana hata ofisi moja wanayomiliki...angalia makao makuu yao...

Jiulize pesa wanapeleka wapi mpaka hata kujenga ofisi wanashindwa?

Tukiacha na ofisi nikija kwenye uongozi ukakutana na yafuatayo

Nao pia wanakumbwa na ombwe la uongozi...ndiyo nao wana udikta ulio wazi kbsa.

Nasema hivi kwasababu mwenyekiti wa chama anaonekana ndiye mmliki wa chama maamuzi yake hayapingwi.

Angalia kuingia kwa Lowasa chadema maamuzi yalifanywa na mwenyekiti na baadae kukaa vikao hewa kuwahadaa wenzie mpaka Dr. Slaa akaamua kujiweka kando.

Ukija kwa cuf unakutana na mambo Yale Yale...muangalie prof. Lipumba amekubali kutumika kwaajili ya kujaza tumbo lake, huyu nae alitaka tumchague awe Rais ...je tungemchagua kwa njaaa hii tungekuwa salama?

Ukiangalia Act unakutana na ya akina Kitila na Ana Mngwira full njaa.

Emu niambieni twende wapi na kwa chama gani kupata ukombozi kamili?

Nabaki kusema heri kubakia na zimwi likujualo kuliko kukimbili zimwi jipya .

Lazaro Nyarando hakuna ulichokwepa my dear.

Nahitimisha kwakusema wakuiponya ccm in sisi wenyewe wana ccm.
Ninachoweza kukusaidia ni kuwa vyama vyote vilivyopo vinaweza kuongoza nchi hii. Kama MTU mmoja tu Daud Albert Bashite ameweza kuitisha CCM yote pamoja na Mwenyekiti wake chini ya Miguu yake kuhoji kuhusu cha kuweza kuongoza ni kukosa ufahamu sahihi wa kile unachokizungumzia

Hii ni serikali ya Magufuli ambapo kila kitendwacho ni kwa utashi wake na sio chama chake ni kichaa asiyejitambua anayeamini kuwa CCM ndiyo inayotawala TZ
Jitahidi kuandika ukiwa umeyaaishi mazingira yako na kuangalia ukwrli halisi badala ya kyandika kwa kurejea mazoea
 
Lini Wapinzan waliendesha nchi ukauona Uongo wao. Ccm ni mafisadi na wengi waviongoz ni wachumia tumbo, mikataba yote ya kilaghai ndani ya nchi hii chimbuko lake ni Ccm. Acha kujitoa Akili wewe kama Kada muaminifu wa chama chako komaa nacho. Lakini usitake kuisafisha Ccm haisafishiki.
Hivi ulishawahi kujiuliza au kumuuliza Mbowe zile bilioni kumi muuzia chama Lowasa alizipeleka wapi?
 
Ni kweli. Maana hata siku CCM ikigeuka kua mpinzan tutasema haina uwezo wa kuongoza nchi Ndio maana kikatoka madarakan.
 
Back
Top Bottom