Hakuna chama cha upinzani ambacho kina uwezo wa kuongoza nchi!

Hivi nikweli kunamwanachama yeyote wa chadema anaweza hoji maamuzi ya mwenyekiti na akabaki salama?????? Kudosss mleta mada
 
makao makuu ya chadema hata mimi yananitisha niwaone janja janja
ccm imejimilikisha Majengo,ardhi,viwanja na rasilimali nyingi zilizokuwa zilizokuwa Mali ya umma kipindi nchi iko mfumo wa Chaka kimoja.

Ni uwendawazimu kulinganisha rasilimali za CCM yenye Mika zaidi ya handing na ACT yenye Miaka miwili au CDM yenye Mika ishirini na
 
Naenda moja kwa moja kwenye mada.

Ccm ni chama tawala lkn kimefika mahali kinaendeshwa kwa matakwa ya mtu mmoja , wengine wote wanafuata amri na maelekezo na huyo mtu.

Kwa bahati mbaya mwenyekiti wa chama ndiye rais pia, hii inapelekea mwenyekiti na ccm kuwa kama Mungu wa ccm kwani yeye ndiye rais na mwenyekiti pia. Kibaya zaid mwenyekiti huyu hapendi kupingwa wala kukosolewa na yyote .....

Wanaccm tumebaki kunung'unikia uvunguni hatuwezi kusemea hadharani maani ukibainika kumkosoa hadharani utaitwa msariti na pengine kufutiwa uanchama wako.

Ktk uongozi was juu wa chama wa miaka ya nyuma hakujawahi tokea uongozi wa namna hii.

Ukimsifia tu mwenyekiti jiandae kulamba cheo ukienda kinyume jiandae kukumbana na ghasia.

Pamoja na ongwe hili la uongozi ndani ya chama twawala bado sioni chama mbadala ambacho kinaweza kupambana mpaka kushika hatamu ya uongozi badala ya ccm.

Nikiangalia chadema bado naona wapo kisanii sanii tu kwa sababu zifuatazo;

Chadema pamoja kuwa chama kikuu cha upinzani lkn hawana hata ofisi moja wanayomiliki...angalia makao makuu yao...

Jiulize pesa wanapeleka wapi mpaka hata kujenga ofisi wanashindwa?

Tukiacha na ofisi nikija kwenye uongozi ukakutana na yafuatayo

Nao pia wanakumbwa na ombwe la uongozi...ndiyo nao wana udikta ulio wazi kbsa.

Nasema hivi kwasababu mwenyekiti wa chama anaonekana ndiye mmliki wa chama maamuzi yake hayapingwi.

Angalia kuingia kwa Lowasa chadema maamuzi yalifanywa na mwenyekiti na baadae kukaa vikao hewa kuwahadaa wenzie mpaka Dr. Slaa akaamua kujiweka kando.

Ukija kwa cuf unakutana na mambo Yale Yale...muangalie prof. Lipumba amekubali kutumika kwaajili ya kujaza tumbo lake, huyu nae alitaka tumchague awe Rais ...je tungemchagua kwa njaaa hii tungekuwa salama?

Ukiangalia Act unakutana na ya akina Kitila na Ana Mngwira full njaa.

Emu niambieni twende wapi na kwa chama gani kupata ukombozi kamili?

Nabaki kusema heri kubakia na zimwi likujualo kuliko kukimbili zimwi jipya .

Lazaro Nyarando hakuna ulichokwepa my dear.

Nahitimisha kwakusema wakuiponya ccm in sisi wenyewe wana ccm.
Ndio nyie nyie mnaosema messi akihama la liga hawezi kushine kwenye ligi nyingine, msipende kuwa watabiri kwa ishu za kipuuzi, mbona kuna wabunge wa upinzani wanaongoza majimbo vizuri kuliko wabunge wa ccm?
 
Magufuli ni rais shupavu asiyeyumbishwa ovyo. Style yake ya uongozi naipenda sana.hata mm ningepewa urais ningeongoza kama yeye. Yeye kama binadam na si malaika ana mapungufu yake ila yanavumilika. Na mengi mazuri anayoyafanya hakuna kiongozi anayeweza kufanya hata kufikia 1/8 ya kile anachofanya huyu mwanaume. So keep quiet and watch. Kwa wasiomwelewa nn anafanya kwa sasa. Tumpe muda baada ya miaka8 mtamwelewa tu
 
Unadhani hayawekwi wazi Kwa walio na chama chao?./.tatizo ni kuwa hayakufikii wewe ambae huna faida na chama,sisi wenye nacho tunajua mapato na ruzuku yetu kidogo tunayopata ya kuanzia ngazi ya wilaya,ila hatujui ya chama chenu maana hakina faida na sisi na wala hatuhitaji kujua,. Ila nyie wenye chama chenu mkijua mapato na ruzuku yenu itawasaidia nyie sio sisi tunaojichukia.
Unajilisha upepo
 
hapana mkuu.Mimi natoa positive comment kabisa
kuwa na ofisi ya chama yenye hadhi kuna communicate kuaminika....watu wengi watawaamini
kwa hio kuwa na ofisi ni jambo la msingi sana
unaijua vizuri historia ya Tanu Leo Ndio Ccm ilipokuwa inpigania uhuru ofisi zake zilikuwa na Hali gani wananchi hawakuangalia vyote. hata sisi Wapinzan hata kama Chadema ingekuwa ina Ofis chini ya mti hamjatushawishi tuamini Ccm hata kwa Sekunde chache
 
Lakin wapinzani wamezidsha
Lini Wapinzan waliendesha nchi ukauona Uongo wao. Ccm ni mafisadi na wengi waviongoz ni wachumia tumbo, mikataba yote ya kilaghai ndani ya nchi hii chimbuko lake ni Ccm. Acha kujitoa Akili wewe kama Kada muaminifu wa chama chako komaa nacho. Lakini usitake kuisafisha Ccm haisafishiki.
 
Naenda moja kwa moja kwenye mada.

Ccm ni chama tawala lkn kimefika mahali kinaendeshwa kwa matakwa ya mtu mmoja , wengine wote wanafuata amri na maelekezo na huyo mtu.

Kwa bahati mbaya mwenyekiti wa chama ndiye rais pia, hii inapelekea mwenyekiti na ccm kuwa kama Mungu wa ccm kwani yeye ndiye rais na mwenyekiti pia. Kibaya zaid mwenyekiti huyu hapendi kupingwa wala kukosolewa na yyote .....

Wanaccm tumebaki kunung'unikia uvunguni hatuwezi kusemea hadharani maani ukibainika kumkosoa hadharani utaitwa msariti na pengine kufutiwa uanchama wako.

Ktk uongozi was juu wa chama wa miaka ya nyuma hakujawahi tokea uongozi wa namna hii.

Ukimsifia tu mwenyekiti jiandae kulamba cheo ukienda kinyume jiandae kukumbana na ghasia.

Pamoja na ongwe hili la uongozi ndani ya chama twawala bado sioni chama mbadala ambacho kinaweza kupambana mpaka kushika hatamu ya uongozi badala ya ccm.

Nikiangalia chadema bado naona wapo kisanii sanii tu kwa sababu zifuatazo;

Chadema pamoja kuwa chama kikuu cha upinzani lkn hawana hata ofisi moja wanayomiliki...angalia makao makuu yao...

Jiulize pesa wanapeleka wapi mpaka hata kujenga ofisi wanashindwa?

Tukiacha na ofisi nikija kwenye uongozi ukakutana na yafuatayo

Nao pia wanakumbwa na ombwe la uongozi...ndiyo nao wana udikta ulio wazi kbsa.

Nasema hivi kwasababu mwenyekiti wa chama anaonekana ndiye mmliki wa chama maamuzi yake hayapingwi.

Angalia kuingia kwa Lowasa chadema maamuzi yalifanywa na mwenyekiti na baadae kukaa vikao hewa kuwahadaa wenzie mpaka Dr. Slaa akaamua kujiweka kando.

Ukija kwa cuf unakutana na mambo Yale Yale...muangalie prof. Lipumba amekubali kutumika kwaajili ya kujaza tumbo lake, huyu nae alitaka tumchague awe Rais ...je tungemchagua kwa njaaa hii tungekuwa salama?

Ukiangalia Act unakutana na ya akina Kitila na Ana Mngwira full njaa.

Emu niambieni twende wapi na kwa chama gani kupata ukombozi kamili?

Nabaki kusema heri kubakia na zimwi likujualo kuliko kukimbili zimwi jipya .

Lazaro Nyarando hakuna ulichokwepa my dear.

Nahitimisha kwakusema wakuiponya ccm in sisi wenyewe wana ccm.
1.MAJENGO YANAENDANA NA WINGI WA WANACHAMA NA MAHITAJI YA CHAMA.

2. PIA Hata Lowasa, kingunge, sofia simba, mizdngo pinda, malecela, walijiweka kando baada ya kukatwa kiuonezi ndani ya CCM

3. Notabene:-
Umejisahahulisha kua hata DR. WILBROAD SLAA, ALIHAMA CCM kabla hajaja kujipatia umaarufu kupitia CDM.

So Kama hizi ndio sababu zako. Basi andaa nyingine.. Manake hizi hazina mashiko

UKWELI MCHUNGU ni huu:-

Hatujawahi kujaribu vyama vingine kuongoza nchi. Ili tUONE KAMA VINA WEZA AMA LA!. SO TUACHE KUA WAPIGa RAMLI.

CCM IMEONGOZA NCHI HII KWA AKILI ZA KIJUHA MIAKA ZAIDI YA 54.

TAASISI YA TWAWEZA inatuthibitishia KUPITIA TAFITI YAo KUA WAFUASI WENGI WA CCM NI ILLITERATE TANZANIANS walioko vijijini.. .Na sote twajua Illiterates ni wengi kuliko literates by population na ni wanawake hasa.

SASA KAMA WEWE NI Mwanamke UNASHABIHIHANA NA huu UTAFITI, unao muda wa kujITAFAKARI usomi wako.
 
Naenda moja kwa moja kwenye mada.

Ccm ni chama tawala lkn kimefika mahali kinaendeshwa kwa matakwa ya mtu mmoja , wengine wote wanafuata amri na maelekezo na huyo mtu.

Kwa bahati mbaya mwenyekiti wa chama ndiye rais pia, hii inapelekea mwenyekiti na ccm kuwa kama Mungu wa ccm kwani yeye ndiye rais na mwenyekiti pia. Kibaya zaid mwenyekiti huyu hapendi kupingwa wala kukosolewa na yyote .....

Wanaccm tumebaki kunung'unikia uvunguni hatuwezi kusemea hadharani maani ukibainika kumkosoa hadharani utaitwa msariti na pengine kufutiwa uanchama wako.

Ktk uongozi was juu wa chama wa miaka ya nyuma hakujawahi tokea uongozi wa namna hii.

Ukimsifia tu mwenyekiti jiandae kulamba cheo ukienda kinyume jiandae kukumbana na ghasia.

Pamoja na ongwe hili la uongozi ndani ya chama twawala bado sioni chama mbadala ambacho kinaweza kupambana mpaka kushika hatamu ya uongozi badala ya ccm.

Nikiangalia chadema bado naona wapo kisanii sanii tu kwa sababu zifuatazo;

Chadema pamoja kuwa chama kikuu cha upinzani lkn hawana hata ofisi moja wanayomiliki...angalia makao makuu yao...

Jiulize pesa wanapeleka wapi mpaka hata kujenga ofisi wanashindwa?

Tukiacha na ofisi nikija kwenye uongozi ukakutana na yafuatayo

Nao pia wanakumbwa na ombwe la uongozi...ndiyo nao wana udikta ulio wazi kbsa.

Nasema hivi kwasababu mwenyekiti wa chama anaonekana ndiye mmliki wa chama maamuzi yake hayapingwi.

Angalia kuingia kwa Lowasa chadema maamuzi yalifanywa na mwenyekiti na baadae kukaa vikao hewa kuwahadaa wenzie mpaka Dr. Slaa akaamua kujiweka kando.

Ukija kwa cuf unakutana na mambo Yale Yale...muangalie prof. Lipumba amekubali kutumika kwaajili ya kujaza tumbo lake, huyu nae alitaka tumchague awe Rais ...je tungemchagua kwa njaaa hii tungekuwa salama?

Ukiangalia Act unakutana na ya akina Kitila na Ana Mngwira full njaa.

Emu niambieni twende wapi na kwa chama gani kupata ukombozi kamili?

Nabaki kusema heri kubakia na zimwi likujualo kuliko kukimbili zimwi jipya .

Lazaro Nyarando hakuna ulichokwepa my dear.

Nahitimisha kwakusema wakuiponya ccm in sisi wenyewe wana ccm.
Tatizo ni wanaCCM kutojitambua na kufanya siasa za kuchumia tumbo.

Wengi waliopo kwenye siasa ni waganga njaa. Kwao siasa ni ulaji. Kwa sasa kwenyevsiasa hakuna tena fedha za ubwete. Kwa nini msisinyae?

Na badoo.

Ila mkibadilika mtaona utamu wa siasa. Mtaeneza na kutangaza imani za chama chenu. Mtaeneza na kutangaza vema uzuri wa chama chenu.
 
Wakuu, chama kuongoza nchi ni kuwa na Sera sahihi. Sera ambazo zitachochea kukua kwa uchumi wa nchi na wa MTU mmojammoja na kwa ujumla wake Sera zinazoleta maendeleo ya nchi. Mtoa Uzi anazungumzia majengo bora, huyu ni kipofu, wakuu mmsamehe bure.
 
Nchi haiongozwi na Chama wala ofisi nchi inaongozwa kwa mujibu wa katiba ya nchi mengine ni anasa tu! Elimu inaweza kuwa bora ya kwenye mti kuliko kwenye hekalu!!
 
unaijua vizuri historia ya Tanu Leo Ndio Ccm ilipokuwa inpigania uhuru ofisi zake zilikuwa na Hali gani wananchi hawakuangalia vyote. hata sisi Wapinzan hata kama Chadema ingekuwa ina Ofis chini ya mti hamjatushawishi tuamini Ccm hata kwa Sekunde chache
very simple psychology...communication of Trust
 
Back
Top Bottom