Hakuna chama cha upinzani ambacho kina uwezo wa kuongoza nchi!

zainaby

Senior Member
Jul 31, 2017
181
243
Naenda moja kwa moja kwenye mada.

Ccm ni chama tawala lkn kimefika mahali kinaendeshwa kwa matakwa ya mtu mmoja , wengine wote wanafuata amri na maelekezo na huyo mtu.

Kwa bahati mbaya mwenyekiti wa chama ndiye rais pia, hii inapelekea mwenyekiti na ccm kuwa kama Mungu wa ccm kwani yeye ndiye rais na mwenyekiti pia. Kibaya zaid mwenyekiti huyu hapendi kupingwa wala kukosolewa na yyote .....

Wanaccm tumebaki kunung'unikia uvunguni hatuwezi kusemea hadharani maani ukibainika kumkosoa hadharani utaitwa msariti na pengine kufutiwa uanchama wako.

Ktk uongozi was juu wa chama wa miaka ya nyuma hakujawahi tokea uongozi wa namna hii.

Ukimsifia tu mwenyekiti jiandae kulamba cheo ukienda kinyume jiandae kukumbana na ghasia.

Pamoja na ongwe hili la uongozi ndani ya chama twawala bado sioni chama mbadala ambacho kinaweza kupambana mpaka kushika hatamu ya uongozi badala ya ccm.

Nikiangalia chadema bado naona wapo kisanii sanii tu kwa sababu zifuatazo;

Chadema pamoja kuwa chama kikuu cha upinzani lkn hawana hata ofisi moja wanayomiliki...angalia makao makuu yao...

Jiulize pesa wanapeleka wapi mpaka hata kujenga ofisi wanashindwa?

Tukiacha na ofisi nikija kwenye uongozi ukakutana na yafuatayo

Nao pia wanakumbwa na ombwe la uongozi...ndiyo nao wana udikta ulio wazi kbsa.

Nasema hivi kwasababu mwenyekiti wa chama anaonekana ndiye mmliki wa chama maamuzi yake hayapingwi.

Angalia kuingia kwa Lowasa chadema maamuzi yalifanywa na mwenyekiti na baadae kukaa vikao hewa kuwahadaa wenzie mpaka Dr. Slaa akaamua kujiweka kando.

Ukija kwa cuf unakutana na mambo Yale Yale...muangalie prof. Lipumba amekubali kutumika kwaajili ya kujaza tumbo lake, huyu nae alitaka tumchague awe Rais ...je tungemchagua kwa njaaa hii tungekuwa salama?

Ukiangalia Act unakutana na ya akina Kitila na Ana Mngwira full njaa.

Emu niambieni twende wapi na kwa chama gani kupata ukombozi kamili?

Nabaki kusema heri kubakia na zimwi likujualo kuliko kukimbili zimwi jipya .

Lazaro Nyarando hakuna ulichokwepa my dear.

Nahitimisha kwakusema wakuiponya ccm in sisi wenyewe wana ccm.
 
Nao pia wanakubwa na ombwe la uongozi...ndiyo nao wana udikta ulio wazi kbsa.

Tatizo lako ni utabiri usio na uwezo wa kuona mbali. Hivi kama ccm kuna mtu mmoja tu anayeongoza na wote wamefyata mkia huko kwenye vyama vya upinzani kumekosekana huyo mtu mmoja? ukweli ni huu upinzani unaweza kuongoza nchi hii vizuri sana tena kwa maslahi ya taifa kuliko hiyo ccm inayotawaliwa na mtu mmoja
 
Sawa unalingine.Imbeni hivyohivyo mpaka siku mjikute Kama Odinga wa Kenya mnalialia.Haaa
 
Tatizo lako ni utabiri usio na uwezo wa kuona mbali. Hivi kama ccm kuna mtu mmoja tu anayeongoza na wote wamefyata mkia huko kwenye vyama vya upinzani kumekosekana huyo mtu mmoja? ukweli ni huu upinzani unaweza kuongoza nchi hii vizuri sana tena kwa maslahi ya taifa kuliko hiyo ccm inayotawaliwa na mtu mmoja
Ifanye democrasia iwe wazi kwanza , tuwekeni wazi mapato na matumizi ya luzuku kwanza. Ndipo uje tuendelee na mjadala
 
Mtoa uzi tokea utukane dini ya kikisto kwa sabab ya hisia zako binafsi ata uelewa wako wa mambo ya maisha nilikushusha kabisa,
 
Kwa akili yako fupi hata Chakubanga wenu hakubaliani nawe.

Naenda moja kwa moja kwenye mada.

Ccm ni chama tawala lkn kimefika mahali kinaendeshwa kwa matakwa ya mtu mmoja , wengine wote wanafuata amri na maelekezo na huyo mtu.

Kwa bahati mbaya mwenyekiti wa chama ndiye rais pia, hii inapelekea mwenyekiti na ccm kuwa kama Mungu wa ccm kwani yeye ndiye rais na mwenyekiti pia. Kibaya zaid mwenyekiti huyu hapendi kupingwa wala kukosolewa na yyote .....

Wanaccm tumebaki kunung'unikia uvunguni hatuwezi kusemea hadharani maani ukibainika kumkosoa hadharani utaitwa msariti na pengine kufutiwa uanchama wako.

Ktk uongozi was juu wa chama wa miaka ya nyuma hakujawahi tokea uongozi wa namna hii.

Ukimsifia tu mwenyekiti jiandae kulamba cheo ukienda kinyume jiandae kukumbana na ghasia.

Pamoja na ongwe hili la uongozi ndani ya chama twawala bado sioni chama mbadala ambacho kinaweza kupambana mpaka kushika hatamu ya uongozi badala ya ccm.

Nikiangalia chadema bado naona wapo kisanii sanii tu kwa sababu zifuatazo;

Chadema pamoja kuwa chama kikuu cha upinzani lkn hawana hata ofisi moja wanayomiliki...angalia makao makuu yao...

Jiulize pesa wanapeleka wapi mpaka hata kujenga ofisi wanashindwa?

Tukiacha na ofisi nikija kwenye uongozi ukakutana na yafuatayo

Nao pia wanakumbwa na ombwe la uongozi...ndiyo nao wana udikta ulio wazi kbsa.

Nasema hivi kwasababu mwenyekiti wa chama anaonekana ndiye mmliki wa chama maamuzi yake hayapingwi.

Angalia kuingia kwa Lowasa chadema maamuzi yalifanywa na mwenyekiti na baadae kukaa vikao hewa kuwahadaa wenzie mpaka Dr. Slaa akaamua kujiweka kando.

Ukija kwa cuf unakutana na mambo Yale Yale...muangalie prof. Lipumba amekubali kutumika kwaajili ya kujaza tumbo lake, huyu nae alitaka tumchague awe Rais ...je tungemchagua kwa njaaa hii tungekuwa salama?

Ukiangalia Act unakutana na ya akina Kitila na Ana Mngwira full njaa.

Emu niambieni twende wapi na kwa chama gani kupata ukombozi kamili?

Nabaki kusema heri kubakia na zimwi likujualo kuliko kukimbili zimwi jipya .

Lazaro Nyarando hakuna ulichokwepa my dear.

Nahitimisha kwakusema wakuiponya ccm in sisi wenyewe wana ccm.
 
zainaby, yawezekana umeandika kwa taharuki kutokana na yanayojiri. Kitu kimoja cha kukushauri tu ni kuwa uache mawazo ya mkoloni wa Kiingereza. Mmeshabihiana na mkoloni huyo kwa kila idara. Kabla nchi zilizotawaliwa kupata uhuru wakoloni walijiaminisha kuwa watawaliwa wale wasingeweza kujitawala hata kwa juma moja achilia mbali miaka. Takasa kichwa, badilika!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
unaweza kuniambia hali ya Tanun ASP zilivyo kuwa wakati wanadai uhuru na kuomba haki ya kuitawala Tanganyika na Zanzibar unasahau yakuwa kikubwa nikuondoa makandokando ya zimwi lako likujualo,mfano katiba ambayo inaendana na wakati uliopo itayo weza angalau kutoa picha kamili ya mfumo mzima wa kutawalana !!hivi unadhani tungekuwa na katiba ya wananchi nikiongozi gani leo wa umma angjiona yuko juu ya sheria!!Upinzani wenyewe unakuwa kwashida sababu ya ccm kujificha nyuma ya katiba ya chama kimoja!!tuwekeni usawa ndio tuwapime upinzani kwa uwezo wao
 
Tatizo lako ni utabiri usio na uwezo wa kuona mbali. Hivi kama ccm kuna mtu mmoja tu anayeongoza na wote wamefyata mkia huko kwenye vyama vya upinzani kumekosekana huyo mtu mmoja? ukweli ni huu upinzani unaweza kuongoza nchi hii vizuri sana tena kwa maslahi ya taifa kuliko hiyo ccm inayotawaliwa na mtu mmoja
Kwenda zako wewe,kwa upinzani upi?
 
Hata wakoloni walisema TANU haikuwa na uwezo wa kutawala lakini hatimae walikubali na hiyo ilikuwa kwenye 1950's na sasa tuko 2017.
 
Back
Top Bottom