Hakuna cha Magufuli Wala cha Nani

Amanikwenu

Senior Member
Dec 1, 2009
187
0
Kutokana na msongamano wa magari ulivyo Dar es Salaam na utendaji wa Serikali ulivyo, hali ya foleni hapa Dar haitakaa iwe na nafuu yoyote ile. Yangu macho. Wakiweza kumaliza tatizo la foleni nitatembea kwa miguu kutoka Ubungo hadi Buguruni angalau mara moja kila miezi mitatu.
 
Wewe kweli mayai, kuna umbali gani kati ya Buguruni na Ubungo?. Watu tunatembea kila siku hapo asubuhi na jioni, wewe utatembea mara moja kila baada ya miezi mitatu?
 
Mkuu watu wanasahau, magufuli aliwika wakati wa mkapa kwa kuwa mkapa alikuwa anakusanya kodi na pesa zzinapelelkwa kujenga barabara kama ilivyo kwenye bajeti, kikwete kazi yake ni kulamba pesa za road fund na kupigia kampeni, huyu mtu ameligharimu taifa.

Tanroads imefilisika ni afadhali kufanya kazi na halmashauri kuliko tanroads. Magufuli bila chapaaa ya kujenga road atawika vipi.

Pole bro pombe
 
Amani kwenu unatia aibu, watu wanatembea toka kimara hadi kariakoo kila siku wewe unaongelea buguruni-ubungo? shame on you
 
Mwikimbi said:
Tanroads imefilisika ni afadhali kufanya kazi na halmashauri kuliko tanroads.

Unamaanisha nini!?! Wewe ndio kati ya wale waliofilisi TANROADS na kuifilisi nchi kwa kudhani mahala pa kazi za umma ni sehemu za kujichotea mali na pesa.
 
Huyu jamaa yawezekana mbwa wa osterbay(wakubebwa kwenye gari) wakati siye mbwa wa manzese(wapanda daladala) kutembea kwa mguu kilometa ndefu ni sehemu ya maisha ya kila siku
 
Hivi huyo Magufuli amesharudisha zile nyumba zetu alizomuuzia jamaa yake na ile aliyompa kimada wake?
 
Ndibalema vipi tena!Tuachane na mambo ya kumkatisha tamaa mzalendo mwenye uchungu wa kweli wa nchi hii.Kumbuka Mugufuli siyo malaika mambo mengi huwa wanamzulia tu, hayana ukweli.
a
 
Kutokana na msongamano wa magari ulivyo Dar es Salaam na utendaji wa Serikali ulivyo, hali ya foleni hapa Dar haitakaa iwe na nafuu yoyote ile. Yangu macho. Wakiweza kumaliza tatizo la foleni nitatembea kwa miguu kutoka Ubungo hadi Buguruni angalau mara moja kila miezi mitatu.

nyie ndo mnaishangilia ccm kila siku, watu tunatembea yombo dovya mpaka kariakoo kila siku kwa mguu..

swali; ulipiga kura?
 
Kutokana na msongamano wa magari ulivyo Dar es Salaam na utendaji wa Serikali ulivyo, hali ya foleni hapa Dar haitakaa iwe na nafuu yoyote ile. Yangu macho. Wakiweza kumaliza tatizo la foleni nitatembea kwa miguu kutoka Ubungo hadi Buguruni angalau mara moja kila miezi mitatu.

Tatizo la foleni litatatuliwa kama wanaweza kuwapa kazi Watanzania waliobobea fani ya Highways. Wapo wengi tu wanatesa ughaibuni.
 
duuuuu! ndibalema umenichosha, magufuli sio malaika. pia ukumbuke wanamtandao walikuwa na jukumu la kumchafua kila asiyekuwa upande wao, hukumbuki salim, mwandosya,sumaye na wengine, mpeni haki yake waziri huyu hata kusimamia kauli zake inatosha unataka arudi kawambwa aliyekuwa anamuogopa hata bosi wa tanroads. magufuli amepelekwa ujenzi kwa malengo ya wanamtandao asipewe pesa za miradi ili ashindwe then wapate cha kusema, hii ndo tanzania yetu. tunajadili nyumba moja ya magufuli kwani bilion 185 zinazomlipa dowans ambaye mmiliki wake hajulikani ni sawa na nyumba ngapi. billion 40 za kagoda isiyo na mwenyewe ni nyumba ngapi. ee mungu tusaidie.
 
Mkuu watu wanasahau, magufuli aliwika wakati wa mkapa kwa kuwa mkapa alikuwa anakusanya kodi na pesa zzinapelelkwa kujenga barabara kama ilivyo kwenye bajeti, kikwete kazi yake ni kulamba pesa za road fund na kupigia kampeni, huyu mtu ameligharimu taifa.

Tanroads imefilisika ni afadhali kufanya kazi na halmashauri kuliko tanroads. Magufuli bila chapaaa ya kujenga road atawika vipi.

Pole bro pombe

Mkuu umesahau,
Anapiga misele kuliko kawaida
 
duuuuu! ndibalema umenichosha, magufuli sio malaika. pia ukumbuke wanamtandao walikuwa na jukumu la kumchafua kila asiyekuwa upande wao, hukumbuki salim, mwandosya,sumaye na wengine, mpeni haki yake waziri huyu hata kusimamia kauli zake inatosha unataka arudi kawambwa aliyekuwa anamuogopa hata bosi wa tanroads. magufuli amepelekwa ujenzi kwa malengo ya wanamtandao asipewe pesa za miradi ili ashindwe then wapate cha kusema, hii ndo tanzania yetu. tunajadili nyumba moja ya magufuli kwani bilion 185 zinazomlipa dowans ambaye mmiliki wake hajulikani ni sawa na nyumba ngapi. billion 40 za kagoda isiyo na mwenyewe ni nyumba ngapi. ee mungu tusaidie.

Sidhani kama ni kweli uongo mtupu huo; Kwamba kiwanda kilicho toa product mbovu ya Bia watu wakanywa wakaarisha kwamba katika production hiyo hiyo mbovu kulikuwepo chupa moja ya bia nzuri inayofaa nadhani Mkuu unajenga hoja bila basis yoyote huwezi kupata mtu aliyepo ndani ya CCM kwa sasa tena akawa hadi Mbunge na Waziri kuwa ni safi huwezi haipo kitaaluma "if test such hypotheses, it must fail very easy" pia haipo ki-uhalisia hiyo siyo CCM naona huijui vizuri; labda humjui Magufuli au wewe ni kibaraka wake, Nilazima tuwe na "Objective indicators" za kusema huyu ni sawa na huyu si sawa, kwa hoja zinazopimika sio kwa kuangalia nani anapiga sana kelele; ufahamu kuwa serikali ina-fanyakazi kwa maamuzi ya pamoja yanayoamuliwa katika Baraza la Mawaziri na hakuna anayetoka na hoja nyumbani kwake kwa mke na watoto wake!! Siku zote nimekuwa nikisema hakuna kondoo katika kundi la mbwa mwitu,
 
Mwizi wa sh.1 na mwizi wa milioni 1 wote sawa tu,hakuna dhambi ndogo.magufuli ni sawa tu na walioiba mapesa mengi icpokua tu wananchi ha2na jinsi la sivyo wote ilibidi kuvisha tairi na kupiga moto tu.
 
Kutokana na msongamano wa magari ulivyo Dar es Salaam na utendaji wa Serikali ulivyo, hali ya foleni hapa Dar haitakaa iwe na nafuu yoyote ile. Yangu macho. Wakiweza kumaliza tatizo la foleni nitatembea kwa miguu kutoka Ubungo hadi Buguruni angalau mara moja kila miezi mitatu.

Huo ndio ukweli wenyewe.
 
Wewe kweli mayai, kuna umbali gani kati ya Buguruni na Ubungo?. Watu tunatembea kila siku hapo asubuhi na jioni, wewe utatembea mara moja kila baada ya miezi mitatu?

Mtoto wa fisadi huyo,watu kona toka Baruti kila siku to and fro....vichochoro vyote nimekariri toka baruti hadi posta....
 
Kutokana na msongamano wa magari ulivyo Dar es Salaam na utendaji wa Serikali ulivyo, hali ya foleni hapa Dar haitakaa iwe na nafuu yoyote ile. Yangu macho. Wakiweza kumaliza tatizo la foleni nitatembea kwa miguu kutoka Ubungo hadi Buguruni angalau mara moja kila miezi mitatu.

Kuna mwenzio mmoja alitoka sijui Mwanza vile akaja mpaka hapa kwakutumia usafiri wa Baiskeli na kisha akapokelewa Ikulu kama shujaa eti kisa kaja kumpongeza Mkwere.

Sasa sijui mwanakwetu utakwenda Buguruni kumpongeza Seif kwa kupewa shavu ktk SMZ huku akiwa hana mamlaka yeyote ile zaidi ya kusubiri kuonja ftari Mwezi wa Ramadhani...
 
Back
Top Bottom